Sijawahi kufanya mapenzi na mwanamke yoyote hapa duniani

Sijawahi kufanya mapenzi na mwanamke yoyote hapa duniani

Sipati picha hao wazungu wako wana kila aina ya rangi kutu si kutu, jivu si jivu..huyo mdada simshauri umgegede maana hiyo michunusi itakayomtoka pana chezea
 
Habari zenu MMU?....Natumaini mko poa kabisa na afya njema.
Husika na kichwa cha habari hapo juu, mimi ni kijana wa kitazania ambae nina umri wa miaka 24. Yaani toka nizaliwe sijawahi kufanya mapenzi na mwanamke yoyote hapa dunian, mie nimwanaume niliekamilika kwa 99%. mashine yangu ipo imara sana ila nimekuwa mpweke sana hususani kwenye mambo ya mapenzi, kusema ukweli mapenzi niliyaweka pembeni nikaconcentrate kwenye masomo na mazoezi zaidi, sikuweza kuwatongoza kabisa wanawake japokuwa nilikuwa na hisia kama mwanaume. nilijipangia kuwa nitafanya mapenzi nikiwa kwenye doa hapo ndio nitasema nimeushinda mtihan, jaman kukaa bila kufanya mapenzi ni mtihan mgumu sana unaelekea kunishida, tangu nije dar nimetokea kuwa na urafiki wa karibu sana na msichana wa chuo, huyu msichana nimetokea kumpenda sana, tatizo ananichukulia kama rafiki akija dukan napagawa yaani jinsi alivyoumbika mithili ya malaika, kumwambia naweza tatizo nahofia kukataliwa then iwe aibu akija dukan....Naomba mawazo yenu ya hekima.

pole sana....
 
Kama ni kweli kwa umri huo hujawahi kufanya mapenzi, basi ukioa utamsumbua sana mkeo....yaani mambo ambayo ungefanya ukiwa na 18 Utafanya ukiwa na 35+???
 
Mi nafikiri umuanze taratibu kama vile kumsifia alivyo na umbo zuri na sifa nyingine unazoziona kwake..Kama anakupenda utaona reaction yake na ataweza kutengeneza mazingira rafiki kwako ili iwe rahisi kumwambia. Huenda unaficha hisia zako na hivyo kuwa vigumu kwake kujua kama unampenda. Ukishatangaza hisia zako kwake itakuwa rahisi kumwambia kwasababu itakupa confidence kutokana na rea tion yake.
Ahsante kwa ushauri wako,lakin mkuu siku moja alikuja dukan akasema ameniota usiku, nikamuuliza umeniotaje akasema kawaida tu.
 
Hujafanya na mwanamke ni sawa ila utakua unafanya sana na Miss Geisha wewe...
 
Hahaha "tony love"
Usjarbu hayo mambo, wenzako tunajuta. Ninao 6 wote wakitaka dyudyu......ooh baby am sick today. Am nat feelin well. Come tomorrow baby
 
Ahsante kwa ushauri wako,lakin mkuu siku moja alikuja dukan akasema ameniota usiku, nikamuuliza umeniotaje akasema kawaida tu.

Hapo kuna hukakika wa 100% kumpata. Amekwambia hivo baada ya kugundua we ni mwoga wa kumueleza. Dalili alishaziona kuwa unampenda. Hayo ndo.mazingira kakurengenezea. Jitahidi utafanikiwa.
 
Ukimwona mzuri kwako tambua pia kuna wengne kule chuo na mitaani wanamuona mzuri kwao, vp hujaanza kuhonga vitu vya dukani?. We subiri uone ndpo ufanye madhambi hayo, japo sikuamini km wewe ni bikra
 
Ni wapi ulikoipimia mashine yako ukaiona ni imara au kwa sababu ya kuona inasimama?
 
nenda corner bar pale wako wengi tu tena si wa kutongoza watakutongoza wenyewe, andaa buku 20 tu, maana ukiendelea kukaa ivyo angalia usije ukadandiwa wewe mwenyewe sasa. hahahah

Back
Top Bottom