Sijawahi kufanya mapenzi na mwanamke yoyote hapa duniani

Sijawahi kufanya mapenzi na mwanamke yoyote hapa duniani

Yaani we siku ukipewa mzigo na mwanamke...yaani lile bao la kwanza tu litamlaza huyo dem kitandani kwa lisaa limoja ndio azinduke aendelee na game.
 
Karne hii mwanafunzi Tena wa chuo umkute silid... Mtoa uzi anazingua aisee hata usistan huko siku hizi wanachakachuana sembuse vyuo vyetu hivi
Mungu akisaidia akinikubalia nitatoa mrejesho.
 
inawezekana ukawa jogoo apand mtungi pia tuna uhakika gan mtu wenyew ujawai kupractiz so unaweza ukatumia nguvu nyingi ktk kufikiria kutongoza uaze vip kumbe jamaa mambo ayawez ukiona upaja tuh chali habar ya mujin ujaijua bado sahau kuhusu zinaa subir ndoa nafikir unaitaj muda zaid wa kuviacha via vya uzaz wako vikomae la sivyo utaitwa hanic mtoto
 
Usijaribu kabisa mimi najuta hakuna asset yeyote zaidi ni liability tu na pressure za kwenda kupima HIV
NB:soma kwanza umalize uoe mkeo akufundishe
 
Hahahah
Hivi unajua wageni hapa mjini ndio wanaongoza kwa selfie????? Mpaka wasettle ushamba uwatoke sio kazi ndogo...ni mwendo wa selfie asubuhi selfie usiku

Hahahah


Mi mgeni hapa mjini..Ndo kwanza nina week moja..Embu nifahamishe
 
Back
Top Bottom