Sijawahi kufanya mapenzi, nasubiri muda muafaka ufike

teyali=tayari, upendi=hupendi , ebu fix kwanza hayo maneno nitasoma tena ntaelewa alafu nitakushauri, ila for the mean time endelea kuwa bikra mkuu na hongera 🤣🤣🤣🤣
 
Kwa umri wako kama hujawahi fanya mapenzi haina shida bado mdogo sana
 
Hongera kijana kwa kuishinda dhambi ,endelea hivi ni kijana mzuri
 
Katika maisha yangu ngono SIJAWAHI kuweka kama first priority katika maisha yangu ndo maana Nina kama mwaka katika uhusiano wangu sijafanya nae ngono.99% wanaamini ukiwa kwenye uhusiano lazima mfanye ngono kitu ambacho sio lazima.

Ni lazima ufanye ngono, acha sababu zako za kiduanzi
 
Mungu azidi kukupa nguvu. Sasa hamishia Pia hiyo nguvu /spirit kwenye maendeleo uone binadamu atakayetoka hapo
 
sa si utafute mission uende ukawe padri huko au brothers of charity?

yani una sifa zote za u papa

Nakutabiria utakuaja kuwa mtukufu PAPA

endelea na moyo huo huo

Kaza baba kaza usiachie,wakazie haooooo

DEAR PAPA

aM OUT
 
We bikira lete maana ya “teyari”,teyali” na ”upendi“.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…