Sijawahi kufanya mapenzi, nasubiri muda muafaka ufike

Sijawahi kufanya mapenzi, nasubiri muda muafaka ufike

Una moyo mgumu sana, hiyo vita ni ngumu sana kushinda, itabidi upewe tuzo ya watu wenye busara zaidi tz.
 
Dogo nenda ufilipino kaombe kazi ya kuigiza. Una kipaji kikubwa mno.

NB: mtafute sergio au Marian (Marimar) wakusaidie

Bongo hapakufai/hatukutaki 😂
 
Hongera sana kwa hilo na uendelee na sprt hyo ulyokuwa nay.


fanya utakavyo hucfanye watakavyo.
Hahahahah hio spirit we mwenyewe tu tukikaa chumba kimoja usiku mzima itakushinda tu 😅😅😅
 
𝙼𝚋𝚘𝚗𝚊 𝚖𝚒𝚖𝚒 𝚗𝚒𝚗𝚊 30𝚢𝚛𝚜 𝚗𝚊 𝚜𝚒𝚓𝚊𝚠𝚊𝚑𝚒 𝚔𝚞𝚕𝚊 𝚝𝚞𝚗𝚍𝚊 𝚗𝚒𝚔𝚘 𝚋𝚞𝚜𝚢 𝚗𝚊 𝚒𝚜𝚜𝚞𝚎𝚜 𝚣𝚊 𝚖𝚞𝚑𝚒𝚖𝚞 𝚔𝚠𝚊𝚗𝚣𝚊
 
Duh, vipi huyo demu wako pia alikuwa bikra? 😬😬😬 Kama movie vile! 🤣
 
hata mbadala wa asali wewe hutumii
au unatumia mafuta gani mheshimiwa
 
Back
Top Bottom