Sijawahi kufanya mapenzi, nasubiri muda muafaka ufike

Mkuu ungejua huyo mkeo mtarajiwa niko nae gheto week ya 2 hii ungeanza kufanya mazoezi kidogo kupasha viungo.

Nyie mkioa ndio tutakuwa tunawachapia
 
Jogoo hawiki vizur itakuwa hapa anapiga porojo tu!! Daaah!! Mtt anakuachia mapaja unakaa unawaza kusubiria ndoa wakati maisha yenyewe haya hayana Guarantee
 
Na utakapokuja gundua demu uliyeingia nae kwenye ndoa mabaharia walikuwa wanageuza kama samaki hapo ndo pagumu panapoweza fanya u commit suicide mdogo wangu!
 
Utapata magonjwa ya zinaa ukiendekeza ngono we haya tu

Dogo hayonmagonjwa ya zinaa asilimia kubwa yana tiba, na tiba zake hata sio ghali, ishu ni yale ya virusi kama hiv na hpv, hapo ulipo huna uhakika kama huyo demu wako ana interact na muhuni ambaye ana hiv na hpv mda huu, see wote mimi na wewe na wahanga
 

Hongera sana, endelea kujitunza na Mungu atakujalia Ndoa njema. Lazima Mungu atakuheshimisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…