Sijawahi kufanya mapenzi, nasubiri muda muafaka ufike

Una moyo mgumu sana, hiyo vita ni ngumu sana kushinda, itabidi upewe tuzo ya watu wenye busara zaidi tz.
 
Dogo nenda ufilipino kaombe kazi ya kuigiza. Una kipaji kikubwa mno.

NB: mtafute sergio au Marian (Marimar) wakusaidie

Bongo hapakufai/hatukutaki πŸ˜‚
 
Hongera sana kwa hilo na uendelee na sprt hyo ulyokuwa nay.


fanya utakavyo hucfanye watakavyo.
Hahahahah hio spirit we mwenyewe tu tukikaa chumba kimoja usiku mzima itakushinda tu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
π™Όπš‹πš˜πš—πšŠ πš–πš’πš–πš’ πš—πš’πš—πšŠ 30πš’πš›πšœ πš—πšŠ πšœπš’πš“πšŠπš πšŠπš‘πš’ πš”πšžπš•πšŠ πšπšžπš—πšπšŠ πš—πš’πš”πš˜ πš‹πšžπšœπš’ πš—πšŠ πš’πšœπšœπšžπšŽπšœ 𝚣𝚊 πš–πšžπš‘πš’πš–πšž πš”πš πšŠπš—πš£πšŠ
 
Duh, vipi huyo demu wako pia alikuwa bikra? 😬😬😬 Kama movie vile! 🀣
 
hata mbadala wa asali wewe hutumii
au unatumia mafuta gani mheshimiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…