Hakuna madhara ila mambo ya mapenzi ni fani hasa kugegeda. Na ujue kugegeda kuna art fulani, ufanyeje mpaka na mwenzio alizike na ujicontrol vipi ili usiwe dak 3 nyingi ushamaliza kwani unakuwa huna uzoefu wa kugegeda. Halafu utakuwa mtu wa Dar -moro -Dar. Kitu ambacho wadada wengi kinawaboa.
Sio tatizo lakini ni uzoefu, watu kama wewe mnakuwa hamjui kumwimbisha msichana aliyetulia mpaka akubali kwani kujitunza kwako huko unakuona deal na hivyo art ya kubembeleza unakuwa huna mwishowe unaishia kuangikia kwa ngurumbembe aliyekubuhu. Walokubuhu wanajua kumsoma Mwanaume fasta sana. Ila kwako haitakuwa hivi utapata mdada just started last year.
Yote kwa yote hongera sana dogo. Umejitunza