Maskni Wa Akili
Member
- Mar 19, 2008
- 98
- 24
Mm ni mschana wa miaka 26 since nianze kudate sijawahi fika kileleni na ni zaidi ya 3 men...nmeshakutana nao wenye utaalamu tofauti tofauti lakin sijawahi fika najaribu kuweka mawazo yangu pale na kuwa na watu naowapenda lakin wapi sifiki...kuna this guy of mine mmoja alinambia katika wasichana wote alodate mm am different yaaani amejitahidi kwa kila style nifike bt imeshindikana nmeuliza wasichana wenzangu kuna vitu wao wamenambia wakifanyiwa wanafika like kupiga deki mm hata hiyo deki sifiki hamna utundu ambao sijafanyiwa...tatzo linaweza kuwa la kiafya? ..nisaidieni wadau I real need to scream one day!

kwani kufika kileleni ndo nini?mi nadhani muhimu ni kuridhika tu lasivyo utajikuta unamegwa na midume kibao kwa kigezo cha kutafuta kufika kileleni. Kama huwa unapata hamu ya mapenzi na unapata raha basi huna tatizo ila tu ni ishu ya kisaikolojia.
Acha kuhangaika kwanza umeolewa?
ThankyuuKama ishu ni kiafya basi kapime hormones
kama una unbalanced hormones inawezekana.....ukipewa dawa utapona
Thankyuupole sana,inatakiwa aanze na tikiti maji kwanza,mambo yakishaiva ndo aanze kupiga pump,then kidole kisitoke pale kwenye eneo la tukio.
Mm ni mschana wa miaka 26 since nianze kudate sijawahi fika kileleni na ni zaidi ya 3 men...nmeshakutana nao wenye utaalamu tofauti tofauti lakin sijawahi fika najaribu kuweka mawazo yangu pale na kuwa na watu naowapenda lakin wapi sifiki...kuna this guy of mine mmoja alinambia katika wasichana wote alodate mm am different yaaani amejitahidi kwa kila style nifike bt imeshindikana nmeuliza wasichana wenzangu kuna vitu wao wamenambia wakifanyiwa wanafika like kupiga deki mm hata hiyo deki sifiki hamna utundu ambao sijafanyiwa...tatzo linaweza kuwa la kiafya? ..nisaidieni wadau I real need to scream one day!
Well,sasa unataka tukufundishe kufanya ZINNA?
USHINDWE NA ULEGEE!!!