Sijawahi kuisahau hii siku

Sijawahi kuisahau hii siku

Miwa ya karibu na shule ilipata tabu sana.

Kisu kitoke wapi shuleni
wakati mwingine hata haiko karibu tunafata tu siunajua watoto wa pori [emoji2][emoji2] ilimradi vurugu mkianza oya masela twenzetuni hapo hajulikani wasichana wala wavulana ... Walimu wa Msingi bwana wanastahili mshahara mkubwa mno mana akili zetu tukiwa watoto tunazijuaga wenyewe..
 
Acha kabisa yule mzee hadi aliweka walinzi ila tunaenda ,maana shamba lilikuwa kubwa na mlinzi mmoja tunamvizia upande ambao hayupo tunavunja
 
Sisi tuliwekewa mpaka vya kurogwa ila wapi sijui ndo mana hatufanikiwi[emoji2][emoji2]
 
Back
Top Bottom