Sijawahi kujihusisha na uchawi, Je! naweza kulogeka?

Sijawahi kujihusisha na uchawi, Je! naweza kulogeka?

kuna rafiki yangu mmoja alienda sumbawanga halafu akawa anawauliza vijana nasikia huku kuna wachawi sana mbona siwaoni ? giza lilipoingia alijuta na kulipokucha aliondoka na kurudi zake. Halafu hiyo kauli ndiyo iliyomponza kiongozi mmoja akasababishwa kulala nje bunda

Umeanza stori.
 
Nawashukuru sana WAKUU. Kuanzia MziziMkavu na wengine wote(ingawaje ukinzani wa mawazo umekuwa mkubwa mno kias kwamba bado nimebaki angani kias flan).

Ila imenisaidia kwa kias kikubwa.
Wapi Ishmael?
 
Last edited by a moderator:
Wakuu heshima mbele,

Nakuombeni mnisaidie sana ktk jambo hili. Mimi ninaumri wa wastani tu japo unatosha(ni kijana). Mpaka sasa, sijawahi kwenda kwa mganga kutafuta uchawi wa kujiganga, sina chale hata moja(labda ya kujikwaruza mahali tu, sio ya uganga),wala sina destiny au interest kabisa na mambo ya uchawi mpaka sasa.

Ninaimani yakutosha ktk dini & Mungu wangu. Pia, nimewahi sikia kuwa, wachawi au uchawi/urozi humdhuru yule ambaye kwa namna moja au nyingine naye anajishughulisha na mambo ya kiganga au amewahi kuwatembelea kina Sangoma walau!

Sijawahi fanya hivyo na sina chochote cha kiganga/kishirikina nafsini au mwilini mwangu.

Sasa je! MCHAWI ANAWEZA KUNIDHURU AU KUNIROGA? (mfano kuniwangia au kuniua).

Msaada tafadhari wanaJamvi.
Kama hauna kinga halisi ambayo ni damu ya Yesu, kulogeka inawezekana kwako.
Allah hana uwezo wa kuzuia uchawi.
Uislam hauna uwezo wa kuzui uchawi
Dini hazina uwezo wa kuzuia uchawi lakini anaye weza kuzuia Uchawi ni Yesu Pekee.

Sasa basi. Mpokee Yesu ili upate uhakikisho wa maisha yako.
 
MAOMBI YA KUSAMBARATISHA UCHAWI NA NGUVU ZA GIZA

Baba katika Jina la Yesu.

Laana zote nilizo tupiwa na wabaya wangu zimeshindwa kwa jina la Yesu na nazivunja na kuzisambaratisha kwa Damu ya Yesu. Mshindwe wote mnao tuma laana kwangu katika Jina la La Yesu.

Nawavunja na kuwaharibu na kuwakatakata Wachawi wote kwa damu ya Yesu.

Nasambaratisha kila neno la uovu lililosemwa juu yangu na famila yangu katika jina la Yesu.

Naharibu na kuisambaratisha madhabahu yenu mliyo fanyia kafara kwa damu ya Yesu.

Navunjavunja na kubomoa kila uovu na uchawi mnaonifanyia katika jina la Yesu.

Nairudisha misukule yote na majini yote yawarudie nyie na kuwalipa dhambi zote mnazo fanya katika jina la Yesu.

Naharibu kila uchawi, kila urogi, kila ndumba kila aina ya uovu ambao mnaufanya ili uniumize mimi na familia yangu katika jina la Yesu.

Nawateketeza kupitia damu ya Yesu Wachawi wote walio tumiwa kunitumia uchawi katika jina la Yesu.

Nawateketeza na kuwaharibu majini yote yaliyo tumwa kuja kufanya kazi hiyo waliyo tumwa na Wachawi katika jina la Yesu.

Nawateketeza na kuwauwa Makuhani wote ambao walienda kunishitaki kwa Wachawi ili waniharibie maisha, nawateketeza kupitia damu ya Yesu. Nawachoma kwa Moto wa Roho Mtakatifu katika Jina la Yesu.

Nateketeza aina zote za vyombo vya kichawi vilivyo tumiwa kuja kunichunguza katika jina la Yesu.

Naharibu fikra zao zote ambazo wanazitumia kufanya kazi zao za kichawi katika jina la Yesu.

Nafuta kumbukumbu zoote zangu ambazo wamewapa Mashetani, Majini, Roho chafu, nafuta hizo kumbukumbu kwa kutumia damu ya Yesu, katika jina la Yesu aliye hai.

Nawateketeza waweka kumbukumbu wa kimashetani kupitia damu ya Yesu aliye hai. Naharaibu na kuchoma kupitia moto wa Roho Mtakatifu makabrasha yote yenye kumbukumbu zangu katika jina la Yesu.

Kila uchawi ulio fanywa ili uje kuharibu maisha yangu na ubomoa kupitia damu ya Yesu.

Kila uchawi ulio fanywa ili uje kuniua nauvunja na kuuteketeza kupitia damu ya Yesu.

Kila uchawi ulio fanywa ili kuja kuiba mali zangu, nauvunja na kuubomoa na kuuharibu kupitia damu ya Yesu.

Kila uchawi ulio fanya kuja kuniharibia familia yangu, nausambaratisha na kuuvunja na kuubomoa katika jina la Yesu.

Kila neno la kichawi lililo tumwa ili kuja kuniharibia, kunidhihaki, kunitendea mabaya nalirudisha kwa aliye lituma katika jina la Yesu.

Kila uovu, uchawi, wanga, ndumba, ramli, yaliyo tumwa kuja kwangu navunja yote hayo kupitia damu ya Yesu na katika Jina la Yesu.

Nyota yangu ambayo wanaita nairudisha kupitia damu ya Yesu. Nyota yangu ya baraka nailinda na kuzungushia na kuizingira na damu ya Mwana Kondoo katika jina la Yesu.

Namteketeza yule mtu aliye kuja kuiba nyota yangu katika jina la Yesu.

Nateketeza mbinu zote wanazo tumia ili kuja kuiba nyota yangu katika jina la Yesu.

Nateketeza wivu wao, chuki yao, laana zao, maovu yao na kila aina ya uchafu ambao wanao kwa ajili yangu katika jina la Yesu.

Naizungushia na kuizingira nyumba yangu na damu ya Yesu.

Naishungushia na kuizingira familia yangu na damu ya Yesu.

Nashungushia na kuzingira maisha yangu yote na damu ya Yesu.

Navunja laana zote zilizo semwa na mabau zangu katika jina la Yesu.

Navunja laana zato ambazo zilisemwa bila ya mimi kufahamu, nazivunja na kuziharibu kupitia damu ya Yesu na katika jina la Yesu.

Narudisha kila mali walizo ziiba kutoka kwangu katika jina la Yesu.

Narudisha kila baraka walizo ziiba kwangu katika jina la Yesu.

Narudisha amani na upendo katika familia yangu.

Damu ya Yesu ipo juu ya Maisha yangu na inasafisha kila uovu, kila uchawi unaaribiwa na damu ya Yesu katika jina la Yesu.

Leo hii mtaiona Nguvu iliyopo katika damu ya Yesu.

Katika Jina la Yesu aliye hai ninaomba.

Amen
 
Ikiwa unamjua mchawi yeyote, mwambie aniloge........
Taja jina lako la ukweli jina lako jina la mama yako jina la baba yako na jina la ukoo wako humu humu ndani wako watu wachawi siwezi kukutajia kwa jina Mkuu Fundisi Muhapa kama kitu hujuwi bora uulize msikilize alivyosema Mkuu Tiba kuwa uchawi mpaka kwenye vitabu vya Dini umeandikwa Biblia na Quran vinasema uchawi upo ila usipende kuamini na kuabudia. Wewe ukitaka kujaribu kurogwa nenda Mikoa ya Pwani,Tanga, bagamoyo, Pangani, kilwa,Sumbawanga,shinyanga,Mtwara, lindi,Mafia,Tabora na kigoma kisha katembee na mke wa mtu. Kisha uone jinsi Uchawi utakavyo kupata .
 
Mkuu Ishmael Tupe Chanzo cha Duwa yako pamoja ushahidi wa dua yako kama inafanya kazi kweli? au umeitunga wewe Mwenyewe?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Ishmael Tupe Chanzo cha Duwa yako pamoja ushahidi wa dua yako kama inafanya kazi kweli? au umeitunga wewe Mwenyewe?
Yote hayo ni maneno ya Mungu. Just read between the line utasoma aya kibao za kwenye Biblia.

Karibu kwa Yesu
 
IN THE NAME OF JESUS, I REVERSE THE CURSE AND ALL EVIL.

Psalm 79:12 And render unto our neighbours SEVENFOLD into their bosom their reproach, wherewith they have reproached thee, O Lord.

IN THE NAME OF JESUS, I BREAK AND RETURN ALL EVIL SEVENFOLD, AND I BIND IT TO THEM BY THE BLOOD OF JESUS.

Gen 4:15 And the LORD said unto him, Therefore whosoever slayeth Cain, vengeance shall be taken on him SEVENFOLD.

Gen 4:24 If Cain shall be avenged sevenfold, truly Lamech SEVENTY and SEVENFOLD.
Read Psalm 109 to see what King David prayed against people coming against him.

In Psalm 7, verse 16, King David prays, "His mischief shall RETURN upon his own head, and his violent dealing shall come down upon his own pate (scalp).

In I Kings 2, verse 44, King David said, "...so the Lord will RETURN your evil upon your own head.

Joel 3:4 - ...Even if you pay Me back, swiftly and speedily I will RETURN your deed [of retaliation] upon your own head.

Joel 3:7 - Behold, I will stir them up out of the place to which you have sold them and will RETURN your deed [of retaliation] upon your own head.

You RETURN curses and all evil because you don't want what has been SENT to you. You should not RETURN it to cause harm to anyone. It is God's business how and when and if He chooses to take action on the senders. Our experience is that He DOES take action. If you do not return curses and all evil, then you are accepting the curses and all evil that has been SENT to you.
Then, there is always II Kings 2:23 - He (Elisha) went up from Jerico to Bethel. On the way, young [maturing and accountable] boys came out of the city and MOCKED him and said to him, Go up [in a whirlwind], you baldhead! Go up, you baldhead! Verse 24 - And he turned around and looked at them and CALLED A CURSE DOWN on them in the name of the Lord. And two she-bears came out of the woods and ripped up forty-two of the boys.

Mkuu.@Ishmael BWANA YESU Alikuwa akisali na kuomba hivi Soma hapa:

Mathayo:6-9-13

9 Basi ninyi salini hivi; Baba yetu uliye mbinguni, Jina lako litukuzwe, Ufalme wako uje,

10 Mapenzi yako yatimizwe, hapa duniani kama huko mbinguni.
11 Utupe leo riziki yetu.
12 Utusamehe deni zetu, kama sisi nasi tuwasamehevyo wadeni wetu.
13 Na usitutie majaribuni, lakini utuokoe na yule mwovu. [Kwa kuwa ufalme ni wako, na nguvu, na utukufu, hata milele. Amina.]

Sasa hivyo ndivyo alivyokuwa anasali kuomba Bwana YESU wewe nani aliyekufundisha KuSali namna hiyo?
 
Unafahamu nani aliambiwa hayo maneno?

ZAIDI YA HAPO.

Nionyeshe, wapi tunasoma tena Yesu akisali hayo maneno?
 
Unafahamu nani aliambiwa hayo maneno?

ZAIDI YA HAPO.

Nionyeshe, wapi tunasoma tena Yesu akisali hayo maneno?
Mkuu Ishmael inaonyesha wewe Biblia unasoma

juu juu kama nyimbo wewe huisomi Biblia moja kwa moja Bwana Yesu alikuwa akisali na

kuomba(dua) kama walivyokuwa waki sali na kuomba (Dua) Mitume mingine. Ushahidi kuwa Bwana

Yesu alimuomba Mungu amuepushe na kifo cha msalaba
Soma hapa chini.

Marko:15-34

34 Na saa tisa Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu, Eloi, Eloi, lama sabakthani? Maana yake, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?

Wewe Mkuu Ishmael Unamuomba Bwana YESU akulinde wakati Yesu Mwenyewe

anamuomba Mungu na kumwambia kwanini unaniacha? kazi kweli ipo Kwa akili zako na

fikiria zako Ni nani wa Kuombwa Kati ya Bwana YESU na Mungu ni yupi wa Kuombwa hapo?

Umepewa akili itumie akili yako sio kuwapoteza watu kwa jina la Bwana YESU.
 
Taja jina lako la ukweli jina lako jina la mama yako jina la baba yako na jina la ukoo wako humu humu ndani wako watu wachawi siwezi kukutajia kwa jina Mkuu Fundisi Muhapa kama kitu hujuwi bora uulize msikilize alivyosema Mkuu Tiba kuwa uchawi mpaka kwenye vitabu vya Dini umeandikwa Biblia na Quran vinasema uchawi upo ila usipende kuamini na kuabudia. Wewe ukitaka kujaribu kurogwa nenda Mikoa ya Pwani,Tanga, bagamoyo, Pangani, kilwa,Sumbawanga,shinyanga,Mtwara, lindi,Mafia,Tabora na kigoma kisha katembee na mke wa mtu. Kisha uone jinsi Uchawi utakavyo kupata .

Nashukuru umehabarisha vyema.
 
Nashukuru umehabarisha vyema.

UCHAWI KATIKA BIBLIA

Maana ya kufaa ni kwamba kama tunajaribu kwenda kwa mganga wa kienyeji, basi tumwamini kabisa. Hakuna maana ya kuaguliwa na mchawi kama tunatumainia mema; na huenda wao wenyewe watafanya hayo hayo. Kuamini kabisa watu hawa na kuwepo kwa nguvu wanazodai

wanamiliki, maana yake hatumwamini Mungu mwenye nguvu zote wa kweli. Kama kweli tunaamini taarifa za Farao, Nebukadneza na Balaki waliotajwa, ndipo na sisi tutakwenda kwa

mpiga ramli na imani kwamba watakuwa na matokeo yoyote juu yetu . Mifano tuliyoiona yaonyesha kwamba uchawi hauna nguvu juu ya watu wa Mungu - tunajua ndivyo tulivyo, kwa sababu ya kuitwa kwetu na kubatizwa.

Uchawi ni bayana umeelezewa na Paulo kuwa ni "Matendo ya mwili", na kwa jinsi hiyo hata'uzushi' (mafundisho ya uongo), Uzinzi / uasherati na uchafu (Gal. 5: 19 -21). Anafafanua: "Nawaambia mapema kama nilivyokwisha kuwaambia (yaani haya yalitiliwa

msisitizo katika mafundisho ya Paulo), Ya kwamba watu watendao mambo ya jinsi hiyo, yakufanana na hayo hawataurithi ufalme wa Mungu"Uwiano wa hili chini ya sheri ya Musa, amri ilikuwa kwamba wachawi wote, wote wanaoagua au kupiga ramli (jina lingine la Uchawi) na

hao waliopitisha watoto wao chini ya moto waliuliwa mara moja (K/torati. 18: 10,11; Kut. 22: 18). Waliopitisha watoto wao motoni hawakuwa ni wachawi hasa - Wachawi na viongozi wa

Ibada ya sanamu walifundisha kwamba ili kujilinda dhidi ya nguvu za uovu, watotot wa hao waliotaka ulinzi waliwapitisha katika moto. Basi tunaona kwamba wote wachawi na hao walioutumia waliuwawa; na kwenye Agano Jipya adhabu kwa wafanyayo hayo ni kutoingia ufalme wa Mungu.

Kutumia uchawi kuwa ndio njia yako nzuri kuboresha maisha ni jambo lingine ambalo Mungu hapendi sisi kufanya kwa kila uamuzi tunakabiliwa na maisha yetu kwa Kristo, inatubidi kwa kusema kweli tujiulize 'Je ! kweli Mungu anataka mimi nifanye hivi ?. Je ! nifanye hivi huku

Yesu akiwa karibu yangu ? kwa mtazamo wa hukumu ya Mungu bayana kwa uchawi, nadhani jawabu liwe dhahiri ipasavyo - hapana, Mungu hataki tutumie uchawi umebainishwa na Samweli ni kuhusika na 'uasi' (Kiebrania kinadokeza'kukasirisha') juu ya neno la Mungu (1

Sam. 15: 23)
. Kumkasirisha mwenyezi kama Israeli walivyofanya kuamini sanamu na uchawai

(K/Torati 32: 16 -19)
,
ni hakika hakuwazika. Mungu ana maana kwa kuwaamuru Israeli kwa kuwafukuza Wakanaani watoke kwa sababu ya kuamini uchawi ambao ulikuwa chukizo mno

kwake, lakini badala yake, walijiunga kutenda hayo (K/Torati 18: 9-14).Basi kwa Israeli wapya, waamini waliobatizwa, haitupasi kutenda mambo haya ya ulimwengu mbaya

uliotuzunguka, au la sivyo hatutaweza kurithi milele nchi ya ufalme tuliyoahidiwa. Kutoa sababu kwamba ni uchawi pekee unaotumika, sio sisi, sio jambo lenyewe, kama tunatumaini

kwamba matokeo ya uchawi yataonekana kwetu, basi kwa kushitusha tuna utumia.
Mungu atubariki sote tunapotembea kwa kufunga siku za giza, ulimwengu wa watu na mataifa kuelekea ufalme wake wenye nuru ya kweli na utukufu.

"Kwa sababu hawakubali kuipenda hiyo kweli, wapate kuokolewa kwa hiyo Mungu awaletea nguvu ya upotevu, Wauaminio uongo; …… Lakini imetupasa sisi kumshukuru Mungu siku zote kwa ajili yenu, ndugu mliopendwa na Bwana ……Basi ndugu simameni imara mkashike

mapokeo mliofundishwa ama kwa maneno, ama kwa waraka wetu. Na Bwana wetu Yesu Kristo mwenyewe, na Mungu Baba yetu, aliyetupenda akatupa faraja ya milele na tumaini jema, katika neema, awafariji mioyo yenu, na kuwafanya imara katika kila neno na tendo jema" (2 Thes. 2: 10 -17).

Uchawi Upo ndio Maana umetajwa katika kitabu cha Biblia laiti Uchawi usingelikuwepo uingetajwa katika Kitabu cha kale cha Biblia. tusiuogope Uchawi tumuogope Mungu na Kumuomba Atulinde na Uchawi na Mapepo wabaya .Mkuu Shy land
 
Back
Top Bottom