Utalalaje mchana umekuwa popo au panya buku? Na kazi utafanya saa ngapi.
Ukitaja week end unamaanisha siku ya kazi binafsi za kujiongezea kipato (kwa maana ya biashara, mashamba nk) kwa wale wenye malengo tu, kwa wale wanaokwenda kwa nguvu ya bahati wanaweza kulala tu. Kwa upande wangu week days nachakarikia ya kaisari, ifikapo week end sina muda wa kulala nachakarikia mambo binafsi.Hahahahahaaa!
Mkuu kuna time ya kufanya kazi na kuna time ya kupumzika ie ikiwemo kulala tukiachana na usiku!
Vile vile sio siku zote tunafanya kazi! Ukumbuke kuna weekend also kuna leave!
...
Kwani mkuu na wewe haujawahi kulala mchana?
hebu nipe siri, umewezaje kuwa na umri 23 hadi 26?? au umeji-clone? una multiple personalities?Habari zenu wakuu.
...
Just nauliza tu, jee nikawaida mtu kutokulala mchana? (baada ya kuamka asubuhi hadi usiku)
...
Nakumbuka kuna kipindi niliumwa sana, hali hiyo ilipelekea nikae kitandani mda wote, hata hivyo sikuweza kupata usingizi! Ispokua siku ya kwanza ya kuumwa huko, usingizi wenyewe nilipata kama saa moja tu hivi! Tena maongezi na pilika zote nilikua nikiziskia!
...
Kwa anaejua aniambie hapa, jee ni kawaida au kunakitu hakiko sawa katika mwili wangu?
Umri ni 23 hadi 26!
that makes the two of us.Kwani wewe umewezaje kuchangia upu.uzi kama huo?
hebu nipe siri, umewezaje kuwa na umri 23 hadi 26?? au umeji-clone? una multiple personalities?
Wewe bado kijana unataka kulala mchana kwa sababu gani? wazee watu wazima na watoto wadogo ndio wanaofaa kulala japo saa moja kwa mchana kuliko wwe bado kijana unataka kulala mchana ili iweje? Fanya kazi asubuhi kisha usiku ndio ulale mchana sio nzuri kulala.Habari zenu wakuu.
...
Just nauliza tu, jee nikawaida mtu kutokulala mchana? (baada ya kuamka asubuhi hadi usiku)
...
Nakumbuka kuna kipindi niliumwa sana, hali hiyo ilipelekea nikae kitandani mda wote, hata hivyo sikuweza kupata usingizi! Ispokua siku ya kwanza ya kuumwa huko, usingizi wenyewe nilipata kama saa moja tu hivi! Tena maongezi na pilika zote nilikua nikiziskia!
...
Kwa anaejua aniambie hapa, jee ni kawaida au kunakitu hakiko sawa katika mwili wangu?
Umri ni 23 hadi 26!
Hauna chochote ambacho hakipo sawa rafiki....nadhani utakuwa unapata usingizi wa kutosha usiku na huna uchovu mchana ndio maana unashindwa kulala....Mimi binafsi siwezi kulala mchana labda niwe nina uchovu wa hali ya juu na kama nikilala mchana nitaharibu ratiba ya usiku mzima!
Wewe bado kijana unataka kulala mchana kwa sababu gani? wazee watu wazima na watoto wadogo ndio wanaofaa kulala japo saa moja kwa mchana kuliko wwe bado kijana unataka kulala mchana ili iweje? Fanya kazi asubuhi kisha usiku ndio ulale mchana sio nzuri kulala.
Angetaja tu exactly miaka yake coz nobody care, na pia humu tunaingia kwa fake nicknames hamna anaemjua instead ya kusema 23 hadi 26. kwa hiyo hata akifa itaandikwa amekufa na umri wa 23 hadi 26??hahahahahahaaha kuna watu mnajifanya hamuelewi anaamana yuko hapo katikati sio chini ya 23 na sio juu ya 26
Angetaja tu exactly miaka yake coz nobody care, na pia humu tunaingia kwa fake nicknames hamna anaemjua instead ya kusema 23 hadi 26. kwa hiyo hata akifa itaandikwa amekufa na umri wa 23 hadi 26??