Sijawahi kulala Mchana!

Sijawahi kulala Mchana!

Mashaxizo

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2013
Posts
6,707
Reaction score
3,346
Habari zenu wakuu.
...
Just nauliza tu, jee nikawaida mtu kutokulala mchana? (baada ya kuamka asubuhi hadi usiku)
...
Nakumbuka kuna kipindi niliumwa sana, hali hiyo ilipelekea nikae kitandani mda wote, hata hivyo sikuweza kupata usingizi! Ispokua siku ya kwanza ya kuumwa huko, usingizi wenyewe nilipata kama saa moja tu hivi! Tena maongezi na pilika zote nilikua nikiziskia!
...
Kwa anaejua aniambie hapa, jee ni kawaida au kunakitu hakiko sawa katika mwili wangu?
Umri ni 23 hadi 26!
 
Utalalaje mchana umekuwa popo au panya buku? Na kazi utafanya saa ngapi.
 
Hahahahahaaa!
Mkuu kuna time ya kufanya kazi na kuna time ya kupumzika ie ikiwemo kulala tukiachana na usiku!
Vile vile sio siku zote tunafanya kazi! Ukumbuke kuna weekend also kuna leave!
...
Kwani mkuu na wewe haujawahi kulala mchana?
 
Ukitaja week end unamaanisha siku ya kazi binafsi za kujiongezea kipato (kwa maana ya biashara, mashamba nk) kwa wale wenye malengo tu, kwa wale wanaokwenda kwa nguvu ya bahati wanaweza kulala tu. Kwa upande wangu week days nachakarikia ya kaisari, ifikapo week end sina muda wa kulala nachakarikia mambo binafsi.

Kupumzika ni jioni.
 
usilale usiku
.
Uta lala mchana
.
Sent from my Nokia XL kwa kutumia JamiiForums App
 
Habari zenu wakuu.
...
Just nauliza tu, jee nikawaida mtu kutokulala mchana? (baada ya kuamka asubuhi hadi usiku)
...
Nakumbuka kuna kipindi niliumwa sana, hali hiyo ilipelekea nikae kitandani mda wote, hata hivyo sikuweza kupata usingizi! Ispokua siku ya kwanza ya kuumwa huko, usingizi wenyewe nilipata kama saa moja tu hivi! Tena maongezi na pilika zote nilikua nikiziskia!
...
Kwa anaejua aniambie hapa, jee ni kawaida au kunakitu hakiko sawa katika mwili wangu?
Umri ni 23 hadi 26!
hebu nipe siri, umewezaje kuwa na umri 23 hadi 26?? au umeji-clone? una multiple personalities?
 
Hauna chochote ambacho hakipo sawa rafiki....nadhani utakuwa unapata usingizi wa kutosha usiku na huna uchovu mchana ndio maana unashindwa kulala....Mimi binafsi siwezi kulala mchana labda niwe nina uchovu wa hali ya juu na kama nikilala mchana nitaharibu ratiba ya usiku mzima!
 
unafanya KAZI gani?? na kwa mda gani.
vipi kuhusu kulala usiku unalala Massa mangapi
 
Habari zenu wakuu.
...
Just nauliza tu, jee nikawaida mtu kutokulala mchana? (baada ya kuamka asubuhi hadi usiku)
...
Nakumbuka kuna kipindi niliumwa sana, hali hiyo ilipelekea nikae kitandani mda wote, hata hivyo sikuweza kupata usingizi! Ispokua siku ya kwanza ya kuumwa huko, usingizi wenyewe nilipata kama saa moja tu hivi! Tena maongezi na pilika zote nilikua nikiziskia!
...
Kwa anaejua aniambie hapa, jee ni kawaida au kunakitu hakiko sawa katika mwili wangu?
Umri ni 23 hadi 26!
Wewe bado kijana unataka kulala mchana kwa sababu gani? wazee watu wazima na watoto wadogo ndio wanaofaa kulala japo saa moja kwa mchana kuliko wwe bado kijana unataka kulala mchana ili iweje? Fanya kazi asubuhi kisha usiku ndio ulale mchana sio nzuri kulala.
 
Hauna chochote ambacho hakipo sawa rafiki....nadhani utakuwa unapata usingizi wa kutosha usiku na huna uchovu mchana ndio maana unashindwa kulala....Mimi binafsi siwezi kulala mchana labda niwe nina uchovu wa hali ya juu na kama nikilala mchana nitaharibu ratiba ya usiku mzima!

Thanks mabeste!
 
Wewe bado kijana unataka kulala mchana kwa sababu gani? wazee watu wazima na watoto wadogo ndio wanaofaa kulala japo saa moja kwa mchana kuliko wwe bado kijana unataka kulala mchana ili iweje? Fanya kazi asubuhi kisha usiku ndio ulale mchana sio nzuri kulala.

Ok! Nimeelewa!
Thanks sana!
 
Watu tupo tofauti kweli.....mie lazima mchana nipate masaa mawili ya kulala unless najiskia kuumwa tu na usiku nalala masaa 8-10.....kichwa cha mausingizi hichi lol
 
hahahahahahaaha kuna watu mnajifanya hamuelewi anaamana yuko hapo katikati sio chini ya 23 na sio juu ya 26
Angetaja tu exactly miaka yake coz nobody care, na pia humu tunaingia kwa fake nicknames hamna anaemjua instead ya kusema 23 hadi 26. kwa hiyo hata akifa itaandikwa amekufa na umri wa 23 hadi 26??
 
kutaja au kutokutaja miaka ni utashi wake mwenyewe kama kaamua kuficha ni uamuzi wa busara aliojichagulia
muhimu asaidiwe tatizo lake tu
 
Back
Top Bottom