Watu tupo tofauti kweli.....mie lazima mchana nipate masaa mawili ya kulala unless najiskia kuumwa tu na usiku nalala masaa 8-10.....kichwa cha mausingizi hichi lol
Ah! Mnanipuna kweli! Sometimes nakuwa mwenyewe tu, no job no place to go! Nabaki tu kupoteza mda Jf!
Angetaja tu exactly miaka yake coz nobody care, na pia humu tunaingia kwa fake nicknames hamna anaemjua instead ya kusema 23 hadi 26. kwa hiyo hata akifa itaandikwa amekufa na umri wa 23 hadi 26??
Farkhina unanicheka! We haya tu!
Yes!
Nitetee hivyo hivyo mabeste!
Au tummwagie tindikali? Teh teh teh!