Sijawahi kumkubali kabisa Lavalava, Ila ameanza kunishawishi

Ila watu mna chuki..
mimi wcb huyu lavalava ndio naona anaimba ladha ya africa mashariki (pwani)
Huyu jamaa na kassim mganga[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7].....


Halafu anajua kutumia kiswahili fasaha na misemo... tatizo mmezoea oh kanishika dushe/papuchi
lavalava hamtamuelewa
 
Hapana ni tathmini tu
kiukweli ata mimi sikuwa namuelewa lavalava kabisa ukiongeza na comment za jf ndio niliona kama atakuja na kupita ila kwa sasa namuelewa sana haswa baada ya kutoa nyimbo flan hapa katikati anajua sana jamaa tatizo nafikiri ilikuwa muda tu
 
Dede, Teja na Utatulia nyimbo zinazotawala ktk playlist yangu
 
Watu mmezoea ili mtu aonekane anaimba vizuri basi aimbe kama Kiba, Diamond au Aslay.
Jamaa yuko vizuri. Mi namuelewa sana na staili yake pekee.
 
Huenda kaletwa pale kwa kazi maalum
 
Hawa jamaa wapikwe vizur Kwanzaa watafika mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…