Sijawahi kumkubali Tulia Ackson toka awe Spika wa Bunge la Tanzania, lakini nimegundua she is smart

Watanzania ni wazuri na wanasifika nje ya Tanzania kwa kuwa wanatumia maarifa waliyonayo vizuri lkn wakiwa ndani ya nchi si walaumu kwa kuwa mfumo unawatuma kuwakandamiza na wanakuwa wa hovyo.
 
Akili huwa wana ziacha kwenye ndege wakifika JNIA
 
Tulia kwenye Bunge la IPU yuko very active kama Jerry Silaa alivyokua Aridhi!!
 
hata sasa bado hakubaliki
 
Narudia hana msaada wowote hapa Tz. sina muda wakusikiliza unafiki anao ubwabwaja huko huku nyumbani
hatendi haki.
Usijali maswali ya nje yamemuamsha akirudi nyumbani baada.ya kumaliza muda wake atakua upande.wa haki,japo upande huo hauna fedha sana kama ule upande wa dhuluma!!!
 
Kilaza kama walivyo vilaza wengine... Ameulizwa swali jepesi kajieleza mambo mengi hayana hata maana, kaonyesha jinsi tz tuna kiongozi hajitambui mkurupukaji na mwenye hasira na ubabe...
Wachaaa wweee!!
 

Kule hakuna ubabe wala kujiamini bila content kiongozi, umemkubali kufokafoka?
 
Tulia is the best Speaker this country has ever had but her deliver delivery kule IPU was under-par. Alipanic na kujivu kwa jazba ukizingatia ukubwa wa kiti chake. Mimi nashangaa mizungu kujipa haki ya kuamua nani akutane na Putin na nani asikutane nae? Yani mbaya wao wanataka awe mbaya wa kila mtu.
 
Huu uliousema ni urongo wa kawaida tu sawa kwamba niseme mimi ni rais wa marekani,Mawili kama wewe sio Tulia basi ni chawa sugu wa dada Tulia kama ni kweli usemayo leta Uzi wako ukimponda au kuonyesha kutomkubali.
 
Wata wana wa mbeya tuna mkaanga siku zii zake.
 
Ukiona mtu alikubalika na Magufuli ujue yuko smart sana, Magufuli hakuwa na kipaji cha kuambatana na vilaza
 
Smart??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…