Sijawahi kumkubali Tulia Ackson toka awe Spika wa Bunge la Tanzania, lakini nimegundua she is smart

Mimi si kati ya watu wanaomkubali Mh. Tulia kutokana na ubabe na ambavyo huendesha bunge. Nahisi ni kutokana na siasa za nchi ambapo mtawala huwa Mungu mtu na sheria ni maamuzi ya mtawala.

Kutokana na kutokumkubali hata majibu yake ya IPU sikutaka hata kusikiliza wala kutazama nilikuwa nasoma humu wanaosema apigwe chini.

- Tulia Ackson awataka viongozi wa magharibi kumheshimu. Ni baada ya kushambuliwa kuhusu kukutana na Vladmir Putin

Ila nimeamua kusikiliza asubuhi hii, that woman kajibu vizuri na she is smart kuliko maprofesa wengi wa Tanzania ambao wakiwa na wazungu hata kujieleza kwenyewe hawajui wanabaki wakitetemeka.

Yule mama anajiamini, ana msimamo na anajua kujenga hoja. Kama wakimpiga chini absi ni ubabe wao tu lakini kwa upande wangu na kutomkubali kwangu, ila kwa hili nasema namuunga mkono.
Watanzania ni wazuri na wanasifika nje ya Tanzania kwa kuwa wanatumia maarifa waliyonayo vizuri lkn wakiwa ndani ya nchi si walaumu kwa kuwa mfumo unawatuma kuwakandamiza na wanakuwa wa hovyo.
 
Akili huwa wana ziacha kwenye ndege wakifika JNIA
 
Ukisiliza malalamiko ya CDM pale Bungeni na ukisoma comments za humu JF unaweza jua yule mama ni mnyama na hana ajualo ila ukituliza mawazo na ukiwa na fikra huru huku ukimsikiloza, yule mama ni mzuri na very smart.

Hata mi binafsi nilikuwa simkubali kwa kulishwa maneno na hawa CDM na wanaharakati uchwara wa JF ila siku 1 nilikuwa na kikao naye one v/s one, nikajuona hatia kwa kumchukia mtu nankuwa na uadui naye kwa kusikiliza maneno ya watu. Ukimuona lice, she is very humble and very innocent person.
Tulia kwenye Bunge la IPU yuko very active kama Jerry Silaa alivyokua Aridhi!!
 
Mimi si kati ya watu wanaomkubali Mh. Tulia kutokana na ubabe na ambavyo huendesha bunge. Nahisi ni kutokana na siasa za nchi ambapo mtawala huwa Mungu mtu na sheria ni maamuzi ya mtawala.

Kutokana na kutokumkubali hata majibu yake ya IPU sikutaka hata kusikiliza wala kutazama nilikuwa nasoma humu wanaosema apigwe chini.

- Tulia Ackson awataka viongozi wa magharibi kumheshimu. Ni baada ya kushambuliwa kuhusu kukutana na Vladmir Putin

Ila nimeamua kusikiliza asubuhi hii, that woman kajibu vizuri na she is smart kuliko maprofesa wengi wa Tanzania ambao wakiwa na wazungu hata kujieleza kwenyewe hawajui wanabaki wakitetemeka.

Yule mama anajiamini, ana msimamo na anajua kujenga hoja. Kama wakimpiga chini absi ni ubabe wao tu lakini kwa upande wangu na kutomkubali kwangu, ila kwa hili nasema namuunga mkono.
hata sasa bado hakubaliki
 
Narudia hana msaada wowote hapa Tz. sina muda wakusikiliza unafiki anao ubwabwaja huko huku nyumbani
hatendi haki.
Usijali maswali ya nje yamemuamsha akirudi nyumbani baada.ya kumaliza muda wake atakua upande.wa haki,japo upande huo hauna fedha sana kama ule upande wa dhuluma!!!
 
Kilaza kama walivyo vilaza wengine... Ameulizwa swali jepesi kajieleza mambo mengi hayana hata maana, kaonyesha jinsi tz tuna kiongozi hajitambui mkurupukaji na mwenye hasira na ubabe...
Wachaaa wweee!!
 
Mimi si kati ya watu wanaomkubali Mh. Tulia kutokana na ubabe na ambavyo huendesha bunge. Nahisi ni kutokana na siasa za nchi ambapo mtawala huwa Mungu mtu na sheria ni maamuzi ya mtawala.

Kutokana na kutokumkubali hata majibu yake ya IPU sikutaka hata kusikiliza wala kutazama nilikuwa nasoma humu wanaosema apigwe chini.

- Tulia Ackson awataka viongozi wa magharibi kumheshimu. Ni baada ya kushambuliwa kuhusu kukutana na Vladmir Putin

Ila nimeamua kusikiliza asubuhi hii, that woman kajibu vizuri na she is smart kuliko maprofesa wengi wa Tanzania ambao wakiwa na wazungu hata kujieleza kwenyewe hawajui wanabaki wakitetemeka (hii topic ingine na inahitaji mjadala wake).

Yule mama anajiamini, ana msimamo na anajua kujenga hoja. Kama wakimpiga chini absi ni ubabe wao tu lakini kwa upande wangu na kutomkubali kwangu, ila kwa hili nasema namuunga mkono.

Kule hakuna ubabe wala kujiamini bila content kiongozi, umemkubali kufokafoka?
 
Tulia is the best Speaker this country has ever had but her deliver delivery kule IPU was under-par. Alipanic na kujivu kwa jazba ukizingatia ukubwa wa kiti chake. Mimi nashangaa mizungu kujipa haki ya kuamua nani akutane na Putin na nani asikutane nae? Yani mbaya wao wanataka awe mbaya wa kila mtu.
 
Mimi si kati ya watu wanaomkubali Mh. Tulia kutokana na ubabe na ambavyo huendesha bunge. Nahisi ni kutokana na siasa za nchi ambapo mtawala huwa Mungu mtu na sheria ni maamuzi ya mtawala.

Kutokana na kutokumkubali hata majibu yake ya IPU sikutaka hata kusikiliza wala kutazama nilikuwa nasoma humu wanaosema apigwe chini.

- Tulia Ackson awataka viongozi wa magharibi kumheshimu. Ni baada ya kushambuliwa kuhusu kukutana na Vladmir Putin

Ila nimeamua kusikiliza asubuhi hii, that woman kajibu vizuri na she is smart kuliko maprofesa wengi wa Tanzania ambao wakiwa na wazungu hata kujieleza kwenyewe hawajui wanabaki wakitetemeka.

Yule mama anajiamini, ana msimamo na anajua kujenga hoja. Kama wakimpiga chini absi ni ubabe wao tu lakini kwa upande wangu na kutomkubali kwangu, ila kwa hili nasema namuunga mkono.
Huu uliousema ni urongo wa kawaida tu sawa kwamba niseme mimi ni rais wa marekani,Mawili kama wewe sio Tulia basi ni chawa sugu wa dada Tulia kama ni kweli usemayo leta Uzi wako ukimponda au kuonyesha kutomkubali.
 
Hiyo ni hoja nyingine ya nyumbani, yani alivyomkaanga mpina ndicho anapiga kelele yeye asikaangwe.
Lakini hoja ya mpina kwa hili nililoweka sasa havina uhusiano.
Point yangu hapa ni kwamba kama walivyo wanasiasa wa Afrika, she is smart lakini anajitoa ufahamu na ego tu akiwa home anajua atafanya chochote hakuna la kumfanya.
Wata wana wa mbeya tuna mkaanga siku zii zake.
 
Ukiona mtu alikubalika na Magufuli ujue yuko smart sana, Magufuli hakuwa na kipaji cha kuambatana na vilaza
 
Mimi si kati ya watu wanaomkubali Mh. Tulia kutokana na ubabe na ambavyo huendesha bunge. Nahisi ni kutokana na siasa za nchi ambapo mtawala huwa Mungu mtu na sheria ni maamuzi ya mtawala.

Kutokana na kutokumkubali hata majibu yake ya IPU sikutaka hata kusikiliza wala kutazama nilikuwa nasoma humu wanaosema apigwe chini.

- Tulia Ackson awataka viongozi wa magharibi kumheshimu. Ni baada ya kushambuliwa kuhusu kukutana na Vladmir Putin

Ila nimeamua kusikiliza asubuhi hii, that woman kajibu vizuri na she is smart kuliko maprofesa wengi wa Tanzania ambao wakiwa na wazungu hata kujieleza kwenyewe hawajui wanabaki wakitetemeka.

Yule mama anajiamini, ana msimamo na anajua kujenga hoja. Kama wakimpiga chini absi ni ubabe wao tu lakini kwa upande wangu na kutomkubali kwangu, ila kwa hili nasema namuunga mkono.
Smart??
 
Back
Top Bottom