Sijawahi kumsikia akikemea ufisadi kwenye hotuba zake

Gulwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2008
Posts
11,200
Reaction score
17,670
Tangu aingie madarakani baada ya kifo cha bwana yule, sijawahi kumsikia alikemea au akimtumbua mtu kwa sababu ya ufisadi.
Katika awamu yake ufisadi umeshamiri sana. Kila mteule wake kwa sasa ni bilionea huku miradi mingi ya maendeleo ikikosa fedha. Je ukimya wake ni kukiri kuwa yeye ni Shemu ya tatizo?
 
Atakemeaje wakati yeye mwenyewe ametoa ruksa watu wajilie kwa urefu wa kamba zao?
 
Alishawapa Ruhusa ya kila mtu kula kwa urefu wa kamba yake, yeye akiwa mlaji mkuu. Hawezi kukemea
 
Hataki kuwa mnafki.

Ufisadi hauishi kwa kukemewa bali kwa kuhakikisha sheria zinasimamiwa kikamilifu kwa mujibu wa Katiba ya nchi.
 
Ukiona hivyo basi tambua kabariki ufisadi na yeye ndiye fisadi papa lenyewe
 
Alisema "...mnakula mpaka mnavimbiwa!! ...kuleni kiasi basi, kuleni urefu wa kamba zenu..."
 
Mtu analiingiza taifa kwenye matatizo kwa kukopa pesa kila uchwao na kugawana wao kwa wao, ukihoji anatafutwa Steve Nyerere na wenzake wakuteke na kukuua.
 
Pigia mstari, huyu akiachiwa aongoze tena angalau miaka miwili tu,nchi itafirisika mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…