MgosiMnubi
JF-Expert Member
- Dec 6, 2022
- 890
- 1,487
Kote si Mbeya au ulitaka awe na kiherehere mbele ya mkubwa wake wa kazi then ionekane mbeya vijijini ni ya moto kuliko mbeya mjini..mbunge wa mbeya mjini anahusikaje mbeya vijijini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kote si Mbeya au ulitaka awe na kiherehere mbele ya mkubwa wake wa kazi then ionekane mbeya vijijini ni ya moto kuliko mbeya mjini..mbunge wa mbeya mjini anahusikaje mbeya vijijini
Majimbo yote yana haki sawa, haijalishi mbunge wake ni nani wananchi tunataka maendeleoKote si Mbeya au ulitaka awe na kiherehere mbele ya mkubwa wake wa kazi then ionekane mbeya vijijini ni ya moto kuliko mbeya mjini..
Mbunge wa Mbeya Mjini mwisho wake ni Uyole, Iwambi na Kawetere.Aulize nini?
Wakati kila kitu kinafanywa na mbunge wa mbeya mjini.
Kujuwa alichofanya Mbunge Oran Njeza ni mpaka uwe na akili kichwani. Kwa namna ya uandishi wako na uwasilishaji mada wako, yaonekana wewe ni tabula rasa.hakuna alilofanya
Takwimu rasmi za Bunge hizi hapa kutoka kwenye tovuti yao:Huyu mbunge Orani Manase Njenza yupo bungeni tangu 2015 mpaka sasa na sijawahi kumsikia akizungumza bungeni, iwe kuuliza swali au kuchangia hoja licha ya jimbo lake kuwa na mzigo wa kero.
wabunge wa aina hii hawatufai hawana msaada kwa wananchi.
Mdau vipi wewe mbunge wa jimbo lako anakuwakilisha ipasavyo?
Soma: Kwanini Mbunge Job Ndugai huwa hachangii chochote bungeni?
Nenda Google ukasome hizi links kuhusu Oran Njeza:Hana tofauti na ambaye alikuwa mbunge wa Nkasi kusini,Mzee Mipata.
hakuna lolote
Huyu hapa, ni mtu mwenye uwezo usiwasikie hawa vijana wavivuSimjui
Kaanza kampeni kwa ajili ya uchaguzi mkuu ujao 2025 anaye mtu anayemtaka kuwa mbunge wa jimbo lao, kaamua kwanza kumchafua huyo aliyepo hivi sasa.Bunge Polis
www.parliament.go.tz
kama unasubiri kumsikia kupitia millard Ayo na ITV utasubiri sana.Hili jamvi lina vilaza sana kwa sasa yaani pamoja na U-Gen Z unashindwa kufuatilia vitu kutoka vyanzo sahihi kabla ya kuja na hoja ya kupost.
Kwa hakika naona athari ya kuondosha viboko shuleni
Umemuwekea ushahidi wa kutosha kabisa, analeta siasa za kipimbi zenye kujaa chuki binafsi.View attachment 3144008
Mbunge anatekeleza majukumu yake kama alivyotumwa na wapiga kura wake. Kijana acha papatu papatu, kafanye kazi upate hela
Mmechagua mbunge NDIO MZEE unategemea kitu gani?Huyu mbunge Orani Manase Njenza yupo bungeni tangu 2015 mpaka sasa na sijawahi kumsikia akizungumza bungeni, iwe kuuliza swali au kuchangia hoja licha ya jimbo lake kuwa na mzigo wa kero.
wabunge wa aina hii hawatufai hawana msaada kwa wananchi.
Mdau vipi wewe mbunge wa jimbo lako anakuwakilisha ipasavyo?
Soma: Kwanini Mbunge Job Ndugai huwa hachangii chochote bungeni?
usifike huko mkuuKwa hakika naona athari ya kuondosha viboko shuleni
Hakuna cha maana alicholifanyia jimbo lakeTakwimu rasmi za Bunge hizi hapa kutoka kwenye tovuti yao:
View attachment 3143988 Amechangia mara 123, ameuliza maswali 119 na ni mjumbe wa Kamati za Bunge.
Unataka afanye nini zaidi ya hayo?
weka details ni nini ametekeleza jimboni kwakeView attachment 3144008
Mbunge anatekeleza majukumu yake kama alivyotumwa na wapiga kura wake. Kijana acha papatu papatu, kafanye kazi upate hela
Acha hasira mkuuMbunge wa Mbeya Mjini mwisho wake ni Uyole, Iwambi na Kawetere.
Mbeya Vijijini ni kubwa mno, acha kupotosha na kumfagilia Bi Kidude wenu
Mabunge ya dunia yako wapi? IPU haina maamuzi yoyote dhidi ya nchi yeyote. Ile ni club tu sawa na Mabatini Veteran FC. Inacheza kupasha misuli lakini haishiriki ligi yeyote.Acha hasira mkuu
Uyo ni mbunge wa mabunge ya dunia kumbuka.