Pre GE2025 Sijawahi kumsikia Mbunge wa jimbo langu Orani Manase Njenza, wa Mbeya vijijini akiuliza swali hata kuchangia hoja Bungeni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
mbunge wa mbeya mjini anahusikaje mbeya vijijini
Kote si Mbeya au ulitaka awe na kiherehere mbele ya mkubwa wake wa kazi then ionekane mbeya vijijini ni ya moto kuliko mbeya mjini..
 
Kote si Mbeya au ulitaka awe na kiherehere mbele ya mkubwa wake wa kazi then ionekane mbeya vijijini ni ya moto kuliko mbeya mjini..
Majimbo yote yana haki sawa, haijalishi mbunge wake ni nani wananchi tunataka maendeleo
 
Aulize nini?
Wakati kila kitu kinafanywa na mbunge wa mbeya mjini.
Mbunge wa Mbeya Mjini mwisho wake ni Uyole, Iwambi na Kawetere.

Mbeya Vijijini ni kubwa mno, acha kupotosha na kumfagilia Bi Kidude wenu
 
hakuna alilofanya
Kujuwa alichofanya Mbunge Oran Njeza ni mpaka uwe na akili kichwani. Kwa namna ya uandishi wako na uwasilishaji mada wako, yaonekana wewe ni tabula rasa.
 
Takwimu rasmi za Bunge hizi hapa kutoka kwenye tovuti yao:

Amechangia mara 123, ameuliza maswali 119 na ni mjumbe wa Kamati za Bunge.

Unataka afanye nini zaidi ya hayo?
 
Kaanza kampeni kwa ajili ya uchaguzi mkuu ujao 2025 anaye mtu anayemtaka kuwa mbunge wa jimbo lao, kaamua kwanza kumchafua huyo aliyepo hivi sasa.
 
Kama alipita bila kupingwa ni makosa yenu wana jimbo!
 
Ameleta maendeleo?
Kero haziwezi kuisha coz kila siku watu wanazaliana na mahitaji yanaongezeka.
Kuongea bungeni siyo njia pekee ya kutatua kero za wananchi.
Fuatilia Hansard za bunge labda anawasikisha hoja zake kwa maandishi.
Tunaelekea uchaguzi ni vizuri kumtathimin kwa kina mgombea wako kabla ya kumchagua.
 
Mbunge wa Mbeya Mjini mwisho wake ni Uyole, Iwambi na Kawetere.

Mbeya Vijijini ni kubwa mno, acha kupotosha na kumfagilia Bi Kidude wenu
Acha hasira mkuu
Uyo ni mbunge wa mabunge ya dunia kumbuka.
 
Acha hasira mkuu
Uyo ni mbunge wa mabunge ya dunia kumbuka.
Mabunge ya dunia yako wapi? IPU haina maamuzi yoyote dhidi ya nchi yeyote. Ile ni club tu sawa na Mabatini Veteran FC. Inacheza kupasha misuli lakini haishiriki ligi yeyote.

Mabwege mnadanganywa na Betina mkidhani ana cheo cha maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…