Pre GE2025 Sijawahi kumsikia Mbunge wa jimbo langu Orani Manase Njenza, wa Mbeya vijijini akiuliza swali hata kuchangia hoja Bungeni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mabunge ya dunia yako wapi? IPU haina maamuzi yoyote dhidi ya nchi yeyote. Ile ni club tu sawa na Mabatini Veteran FC. Inacheza kupasha misuli lakini haishiriki ligi yeyote.

Mabwege mnafanganywa na ha

Mabunge ya dunia yako wapi? IPU haina maamuzi yoyote dhidi ya nchi yeyote. Ile ni club tu sawa na Mabatini Veteran FC. Inacheza kupasha misuli lakini haishiriki ligi yeyote.

Mabwege mnafanganywa na Betina mkidhani ana cheo cha maana
Mkuu unahakika hauna changamoto za afya ya akili kweli?!
 
Yaani watqnzania tungekua serious na maisha ya siasa. Wabunge wengi wangekua wanakaa msimu mmoja bungeni au wangejifunza kuwasemea wananchi. Ila kwa kuwa sisi wenyewe hatujatambua wajibu wetu acha tuendelee kuburuzwa tu. 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mkuu unahakika hauna changamoto za afya ya akili kweli?!
Weka hapa kazi na uwezo wa IPU ndiyo tutajuwa nani anastahili kuwa Mirembe Mental Hospital!!

Siyo mnaishi kwa kukaririshwa tu
 
Weka hapa kazi na uwezo wa IPU ndiyo tutajuwa nani anastahili kuwa Mirembe Mental Hospital!!

Siyo mnaishi kwa kukaririshwa tu
Uko serious mkuu au umelewa maana leo ni siku ya kazi hata weekend bado haijafika
Ujue!?
 
Uko serious mkuu au umelewa maana leo ni siku ya kazi hata weekend bado haijafika
Ujue!?
Wewe bwege nakujulisha ifuatavyo:-

Kuna Hype (mhemuko) mkubwa kkwenye social media juu ya clip za Tulia Ackson akiwa kwenye mkutano wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU). Kuna wanaomsapoti kwa kauli zake kali dhidi ya maswali ya wabunge wakidhani amewaonyesha kuwa ana uwezo wa ki-uongozi. Na upande mwingine wanamuona amefeli kwenye nyanja ya international diplomacy and conflict resolution.

Nawaletea maelezo kuhusu IPU ili msitegemee sana kuwa IPU ni chombo cha maana.

Inter-Parliamentary Union (IPU) ni shirika la kimataifa linalowaleta pamoja mabunge ya nchi mbalimbali duniani. Lengo kuu la IPU ni kuimarisha demokrasia, kuhimiza ushirikiano wa kibunge, na kujadili masuala ya kimataifa kama vile amani, maendeleo, haki za binadamu, na usawa wa kijinsia.

IPU ilianzishwa mwaka 1889, na ni mojawapo ya mashirika ya zamani zaidi ya kimataifa. Shirika hili lina wajumbe kutoka mabunge ya takriban nchi 179, na linashirikiana kwa karibu na Umoja wa Mataifa na mashirika mengine ya kimataifa.

Nguvu za maamuzi za IPU:

1. Haina mamlaka ya kisheria juu ya nchi wanachama. Hivyo, maamuzi ya IPU si ya kisheria wala ya lazima kwa nchi au mabunge wanachama.

2. Madhumuni yake ni kutoa mapendekezo na maazimio ambayo yanahimiza nchi wanachama kutekeleza sera au hatua fulani.

3. Hufanya kazi kama jukwaa la majadiliano na kubadilishana mawazo kuhusu masuala ya kisera, lakini utekelezaji wa mapendekezo hutegemea mabunge ya nchi wanachama wenyewe.

Hitimisho:
Kwa ufupi, IPU haina nguvu za moja kwa moja za maamuzi, lakini inachangia kwa kiasi kikubwa kuunda maoni ya pamoja na kuhamasisha hatua za kibunge kuhusu masuala mbalimbali ya kimataifa.
 
kama hafai yanini tumchague tena, tangu 2015 ni jambo gani la maana kafanya jimboni zaidi ya kurubuni wananchi kwa kuanzisha mbuzi cup
Uwe na ushahidi ambao unaweza kuwafikia wapiga kura wake wakakuelewa. Wapo wagombea wengi wanaishi Dar miaka yote halafu wanarudi nyumbani wakati wa kuelekea uchaguzi mkuu. Hawa wanapewa kura chini ya mbili na wajumbe wanaopitisha majina ya wabunge na sababu za msingi wanazo.

Tusipende kuwadharau wananchi wa vijijini kisa tunaishi mijini na kudhani huko walipo ndugu zetu hawajui chochote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…