Sijawahi kumsikia Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu wakizungumzia wimbi la utekaji

Gulwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2008
Posts
10,597
Reaction score
16,394
Utekaji ni janga kubwa linaloikumba taifa kwa sasa. Ajabu viongozi hawa waandamizi wazunguka na kuhutubia bila kugusia hata kidogo. Je huu ni dalili kuwa hawaguswi na mateso wanayopitia ndugu na jamaa za waliotekwa?

Kabla ya wimbi hili kuibuka, Bashite alitoweka kipindi kirefu bila kujulikana alipokuwa, tuyaunganishwe?
 
Nyumbani kwenu wametekwa wangapi?
 
wao ndio wasimamizi wa hguo utekaji
 
Mnanikumbusha nchi ya Burkina Faso yenye Rais kijana
 
Sometimes silence means admit!
 
Ni drama tu
Omba uendelee kusoma na kuhadithiwa hivyo hivyo kwenye mitandao isitokee kwenye familia yako.

Baadhi ya comment humu huwaonyesha namna watu walivyo kiumri na kiakili.
 
Rais kishasema ni Drama, hao wengine wanaovaa fulana zenye picha yake kifuani unataka waseme nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…