Sijawahi kumuona Bashiru kavaa suti sasa hivi atavaa

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Inakuwaje wanajamvi!

Sijawahi kumuona katibu mkuu mpya kiongozi ndani ya suti. Sasa hivi piga ua garagaza zika fukua lazima atinge suti tu.

Kama ilikuwa masharti imekula kwake.

1614413178364.png
 
Kuvaa suti mchezo?
Suti Ni vazi lenye heshima yake.

Mfano hupashwi kuongea umbea ukiwa umevaa suti. Siongelei hizi suti ambazo koti Ni Ilala na suruali tandika mitumbani. Naongelea suti Kama zangu.

Ukivaa suti hupashwi kula kwa mama ntilie Wala kula supu ya utumbo. Ukivaa suti hupashwi kuongozana na mwanamke aliyevaa Dera au anaeongea ongea ujinga.

Ni muhimu mvaa suti ajue kiingereza Safi.
Mwiko kusimamia kwenye daladala ukiwa na suti.

Kiujumla Sheria za suti ziko kumi na Tisa.

Haya atayaweza?
 
Inakuwaje wanajamvi!

Sijawahi kumuona katibu mkuu mpya ndani ya suti. Sasa hivi piga ua zaragaza zika fukua lazima atinge suti tu. Kama ilikuwa masharti imekula kwake.
Akili za kuambiwa, changanya na za kwako.
 
Inakuwaje wanajamvi!

Sijawahi kumuona katibu mkuu mpya ndani ya suti. Sasa hivi piga ua zaragaza zika fukua lazima atinge suti tu. Kama ilikuwa masharti imekula kwake.

Kwa nini mkuu unasema lazima avae?
 
Kuvaa suti mchezo?
Suti Ni vazi lenye heshima yake.
Mfano hupashwi kuongea umbea ukiwa umevaa suti. Siongelei hizi suti ambazo koti Ni Ilala na suruali tandika mitumbani. Naongelea suti Kama zangu.
Ukivaa suti hupashwi kula kwa mama ntilie Wala kula supu ya utumbo. Ukivaa suti hupashwi kuongozana na mwanamke aliyevaa Dera au anaeongea ongea ujinga.
Ni muhimu mvaa suti ajue kiingereza Safi.
Mwiko kusimamia kwenye daladala ukiwa na suti.
Kiujumla Sheria za suti ziko kumi na Tisa.

Haya atayaweza?
Weka na kapicha mkuu.
 
Kuvaa suti mchezo?

Siongelei hizi suti ambazo koti Ni Ilala na suruali tandika mitumbani. Naongelea suti Kama zangu.

Kiujumla Sheria za suti ziko kumi na Tisa.

Haya atayaweza?

[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23] Dah
 
Kama umekulia kijijini Kama KIDUKU Lilo siku ya kwanza kuvaa suti huwa mtihani kweli kweli, unaHISI Kama kila mtu anakuangalia, kumbe hata madem hawana time na wewe, labda wamama single mothers.
 
Kuvaa suti mchezo?
Suti Ni vazi lenye heshima yake.
Mfano hupashwi kuongea umbea ukiwa umevaa suti. Siongelei hizi suti ambazo koti Ni Ilala na suruali tandika mitumbani. Naongelea suti Kama zangu.
Ukivaa suti hupashwi kula kwa mama ntilie Wala kula supu ya utumbo. Ukivaa suti hupashwi kuongozana na mwanamke aliyevaa Dera au anaeongea ongea ujinga.
Ni muhimu mvaa suti ajue kiingereza Safi.
Mwiko kusimamia kwenye daladala ukiwa na suti.
Kiujumla Sheria za suti ziko kumi na Tisa.

Haya atayaweza?
Mkuu fungua uzi utupe ilimu juu ya sharia kumi na Tisa (19) za Suti.
 
Inakuwaje wanajamvi!

Sijawahi kumuona katibu mkuu mpya ndani ya suti. Sasa hivi piga ua garagaza zika fukua lazima atinge suti tu.

Kama ilikuwa masharti imekula kwake.
Ungetumia neno kamili Katibu Mkuu Kiongozi.ukisema tu katibu mkuu,unakuwa unamshusha cheo ndugu bash.
 
2695760_IMG_20210219_150201_428.jpg

Ila ile suti Mheshimiwa Kabudi waziri wa mambo ya nje aliyovaa ufaransa ni hatarii ilimtoa na kumvaa vema kabisa. Yani kati ya hilo kundi Kabudi katoka.

Angalia waziri wa mambo ya nje ufaransa alivyo shabby hadi kachomekea tai. Aliyemshonea Kabudi ana mkono mzuri sana.
 
Back
Top Bottom