Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 11,129
- 7,321
Huyu kabisa yuko kama Nyerere, copyright. Hata anavyoongea na kupanga hoja zake, na hekima yake ilivyo utadhani ni mtoto wa NyerereInakuwaje wanajamvi!
Sijawahi kumuona katibu mkuu mpya kiongozi ndani ya suti. Sasa hivi piga ua garagaza zika fukua lazima atinge suti tu.
Kama ilikuwa masharti imekula kwake.