Sijawahi kumuona Bashiru kavaa suti sasa hivi atavaa

Inakuwaje wanajamvi!

Sijawahi kumuona katibu mkuu mpya kiongozi ndani ya suti. Sasa hivi piga ua garagaza zika fukua lazima atinge suti tu.

Kama ilikuwa masharti imekula kwake.


Huyu kabisa yuko kama Nyerere, copyright. Hata anavyoongea na kupanga hoja zake, na hekima yake ilivyo utadhani ni mtoto wa Nyerere
 
Ungejua mitindo inaanziaga ufaransa na Italia ungejua mshamba Ni Nani hapo.
 
Aiseeh duh.
Bashiru naona kasoma huu uzi. Ameapa hajavaa suti ya kimagharibi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…