Wakina mc pilipili ukiwauliza hata ilani ni nini hawajui.Wengine hata hela huwa hawapewi.
Wanajipeleka wao tu.
Mkutano mkuu wa CCM utawakuta:
Wasanii kama TOT, Hamonaizi, Kiba, Diamond, Zuchu, hawa wanapewa platforms za Kutumbuiza....hawa sawa.
Ukiwaona hawa kwenye mkutano mkuu wa CCM ujue wamejipeleka wao kwa own cost ili kujisogeza karibu kwa viongozi;
JB, na waigizaji wenzie, Wasanii wa comedy, ma-influencer, Ally Kamwe, Ahmed Ally, Haji manara,
Hahahahahaaaa!Dully Sykes ni mtoto wa mjini ambaye ni kitukuu cha familia ya Sykes iliyoshirikiana na Nyerere kudai uhuru na harakati za kuanzishwa kwa chama cha TANU & ASP. Dully amerithi unyenyekevu wa babu yake. Hapendi makuu ila amebeba jina kubwa na legacy nzito sana
Familia yao ni kubwa nchi hii ni waasisi wa uhuru wa taifa hili, itakuwa kuna miiko wamewekewa ila sio swala la fursa , mana majukwaa ya Ccm wanapanda hata watu wasiojulikana itakua muanzilishi wa Bongo flevaHajapewa fursa, ww ukipewa fursa utakataa
Wivu mbaya sana ungekua ww ungekataaNakiri namkubali sana Dully Sykes Hana makuu na pia ni kwasababu sijawahi kumuona kwenye matamasha ya kichawa.