GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Huu Mtindo uliobuniwa na Kituo cha Runinga cha ITV cha Kuwaonyesha Watangazaji Wao ( wale Wasoma Taarifa za Habari ) mwili mzima umetufanya Sisi Watazamaji Wao ' tukuka ' tuweze kuona jinsi Mwenyezi Mungu alivyopatia Kuwaumba.
Ila hadi hivi sasa kama kuna Mtangazaji mwenye Miguu mizuri nadhani Kushinda Watangazaji wote wa Habari ITV ni huyu Jackline Silemu ambaye kwakweli ana Miguu siyo ya nchi hii na ni mizuri hadi nashindwa hata kuzidi Kuizungumzia.
Hongera zake sana na mno!
Nawasilisha.