Sijawahi kuona Mtangazaji mwenye Miguu mizuri na iliyopangika vyema Kiurembo kama Jackline Silemu wa ITV. Hongera zake!

Huu Mtindo uliobuniwa na Kituo cha Runinga cha ITV cha Kuwaonyesha Watangazaji Wao ( wale Wasoma Taarifa za Habari ) mwili mzima umetufanya Sisi Watazamaji Wao ' tukuka ' tuweze kuona jinsi Mwenyezi Mungu alivyopatia Kuwaumba.

Ila hadi hivi sasa kama kuna Mtangazaji mwenye Miguu mizuri nadhani Kushinda Watangazaji wote wa Habari ITV ni huyu Jackline Silemu ambaye kwakweli ana Miguu siyo ya nchi hii na ni mizuri hadi nashindwa hata kuzidi Kuizungumzia.

Hongera zake sana na mno!

Nawasilisha.
Mbona miguu ya kawaida tu
images.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mind you Beauty is in the eyes of the beholder; hakuna kitu kama universal beauty, HAKUNA.
 
Huu Mtindo uliobuniwa na Kituo cha Runinga cha ITV cha Kuwaonyesha Watangazaji Wao ( wale Wasoma Taarifa za Habari ) mwili mzima umetufanya Sisi Watazamaji Wao ' tukuka ' tuweze kuona jinsi Mwenyezi Mungu alivyopatia Kuwaumba.

Ila hadi hivi sasa kama kuna Mtangazaji mwenye Miguu mizuri nadhani Kushinda Watangazaji wote wa Habari ITV ni huyu Jackline Silemu ambaye kwakweli ana Miguu siyo ya nchi hii na ni mizuri hadi nashindwa hata kuzidi Kuizungumzia.

Hongera zake sana na mno!

Nawasilisha.
Weka na iyo miguu yako kama ya kunguru tuione

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mkimbizi ana mambo ya kishamba sana
 
Unamsifia sana.. Si umpandie hewani ummpe verse.. Au na ww ni mtoa machozi kama pilipili.
 
Unaonaje?, maana mimi TV yangu huwa haimuonyeshi kwa chini.
 
Kwangu mwanamke mzuri kwenye Television Bongo ni yule Mramba wa TBC
 
Huu Mtindo uliobuniwa na Kituo cha Runinga cha ITV cha Kuwaonyesha Watangazaji Wao ( wale Wasoma Taarifa za Habari ) mwili mzima umetufanya Sisi Watazamaji Wao ' tukuka ' tuweze kuona jinsi Mwenyezi Mungu alivyopatia Kuwaumba.

Ila hadi hivi sasa kama kuna Mtangazaji mwenye Miguu mizuri nadhani Kushinda Watangazaji wote wa Habari ITV ni huyu Jackline Silemu ambaye kwakweli ana Miguu siyo ya nchi hii na ni mizuri hadi nashindwa hata kuzidi Kuizungumzia.

Hongera zake sana na mno!

Nawasilisha.
Hivi huyu dada si kaolewa?kwani ni hatumii jina la mume wake au ndo walewale, any time quit!
 
Back
Top Bottom