Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Nenda vituo vya polisi ukaone lundo la pikipiki na bajaj ndio urudi hapa.
Kumbuka hiyo elfu 30 ni fine ya ndani ya siku 7. Ikizidi wiki bila kulipa deni linaongezeka, kwahiyo ukipigwa fine mara mbili jumlisha na fine ni lazima chombo chako kipelekwe polisi.Nyingi ni ajali na uhalifu,hakuna atakayeacha pikipiki yake Polisi kisa shilingi 30,000.Wengi wa vijana hawa hizo pikipiki sio zao
Huyo achana naye,ni "kajamvi" ka kupumzikia wapita njia,hajui chochote.Una umri gani..? Maana hujui unachokiongea
Samia sio Magufuli wewe, Magufuli alimtaka Mwinyi mkwere akamlazimisha agombee na Samia kwa hoja ya Jinsia. Samia sio Magufuli.Samia ni Magufuli.
Samia aliteuliwa na Magufuli kama alivyoteuliwa Sabaya, Hapi, Majaliwa,Mpango etc
Acha wanafunzi wa Magufuli waumane
Wanakamatwa sn, nenda vituo vya polisi boda zimejaa balaa
Kuna polisi wanaitwa sijui tigo nini ni wasumbufu haswa wanakamata sn wasiokuwa na leseni, kofia na makosa mengine mtaaniHizo nyingi ni ajali na zinajihusisha na uhalifu...kwa makosa ya kawaida barabarani ni ngumu kumpiga faini bodaboda.Ni ngumu pia kuitelekeza pikipiki polisi kwa kudaiwa 30,000
Kuna polisi wanaitwa sijui tigo nini ni wasumbufu haswa wanakamata sn wasiokuwa na leseni, kofia na makosa mengine mtaani