Sijawahi kuona Upendo kama huu anaonipa huyu Dada

Chai.
 
Hauna mdogo wako wa kiume ama rafiki aliyesingle valentine hii nisikae kinyonge 😞😂😂
 
Hongera. Lakini jitahidi kuweka akiba ya maneno. Usijisifie kupita kiasi. Mtangulize Mungu wako katika kila hatua ya mahusiano yenu. Wabaya ni watu na watu wengi wao ni wale walio wa karibu yako.
 
Hongera. Lakini jitahidi kuweka akiba ya maneno. Usijisifie kupita kiasi. Mtangulize Mungu wako katika kila hatua ya mahusiano yenu. Wabaya ni watu na watu wengi wao ni wale walio wa karibu yako.
ahsante sana mkuu.
 
Tunapoweka sababu za kumpenda mtu tunaweza kuwa tunakosea kwa sababu zile sababu huwa na tabia ya kuexpire.Penda kwa sababu unampenda tu
 
Weee! Hongera sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…