Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Ushawekewa kipande cha nyama kwenye **** ukalishwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
too good to be true=VALENTINE LOVE SCAM, pls wake upWakuu,
Ambao hamjapata muwapendao poleni sana,najua mnapitia changamoto sana~ukitupia ndoano samaki anaikwepa,mnahangaika wallah.
Wakuu,baada ya kuhangaika sana kumtafuta nimpendae basi bwana nimejikuta ninampata dada mmoja mrembo kuzidi wote,mweupe,trako kama mlima kilimanjaro,mpole na mcha MUNGU.
Aise sijawahi kupewa penzi kama hili, amekamilika kila kona,yaani both ktk kutimiza majukumu kama mke na kitandani pia hajambo.
Chochote nitakacho napewa,nikijikwaa kdg tu nipatewa pole na machozi yatatoka kunililia eti nimeumia
Sasa nimeona isiwe tabu,jana nimetoka kujitambulisha kwao na mwezi wa nne atakuwa mke wangu rasmi.
Na leo nimetoka kupokea gari bandarini kwa ajiri ya kumpa zawadi ya valentine hapo kesho kutwa. Ambao hamna wapenzi mtajijua wengine tupo dunia yetu.
Karibuni valentine day nyumbani kwangu majimatitu dar~es~salaam.

Hongera,ila angalizo usije tu ukataka kunywa sumu siku ukisikia huo upendo kuna mtu mwingine naye anapewa...Wakuu,
Ambao hamjapata muwapendao poleni sana,najua mnapitia changamoto sana~ukitupia ndoano samaki anaikwepa,mnahangaika wallah.
Wakuu,baada ya kuhangaika sana kumtafuta nimpendae basi bwana nimejikuta ninampata dada mmoja mrembo kuzidi wote,mweupe,trako kama mlima kilimanjaro,mpole na mcha MUNGU.
Aise sijawahi kupewa penzi kama hili, amekamilika kila kona,yaani both ktk kutimiza majukumu kama mke na kitandani pia hajambo.
Chochote nitakacho napewa,nikijikwaa kdg tu nipatewa pole na machozi yatatoka kunililia eti nimeumia
Sasa nimeona isiwe tabu,jana nimetoka kujitambulisha kwao na mwezi wa nne atakuwa mke wangu rasmi.
Na leo nimetoka kupokea gari bandarini kwa ajiri ya kumpa zawadi ya valentine hapo kesho kutwa. Ambao hamna wapenzi mtajijua wengine tupo dunia yetu.
Karibuni valentine day nyumbani kwangu majimatitu dar~es~salaam.
Fungeni kwanza ndoa.Ndiyo upate kujua rangi yake halisi.I hope mtaishi vyema. Hakutakuwa na baya tena.Mungu awatangulieWakuu,
Ambao hamjapata muwapendao poleni sana,najua mnapitia changamoto sana~ukitupia ndoano samaki anaikwepa,mnahangaika wallah.
Wakuu,baada ya kuhangaika sana kumtafuta nimpendae basi bwana nimejikuta ninampata dada mmoja mrembo kuzidi wote,mweupe,trako kama mlima kilimanjaro,mpole na mcha MUNGU.
Aise sijawahi kupewa penzi kama hili, amekamilika kila kona,yaani both ktk kutimiza majukumu kama mke na kitandani pia hajambo.
Chochote nitakacho napewa,nikijikwaa kdg tu nipatewa pole na machozi yatatoka kunililia eti nimeumia
Sasa nimeona isiwe tabu,jana nimetoka kujitambulisha kwao na mwezi wa nne atakuwa mke wangu rasmi.
Na leo nimetoka kupokea gari bandarini kwa ajiri ya kumpa zawadi ya valentine hapo kesho kutwa. Ambao hamna wapenzi mtajijua wengine tupo dunia yetu.
Karibuni valentine day nyumbani kwangu majimatitu dar~es~salaam.
Si ndo hapo, eti kuliko wote...🙄🙄Hizo sifa za uzuri ulizotaja kwa mtazamo wangu hazistahili kauli ya Kuliko wote hii sentensi Kuliko wote Umeichukulia poa kisa manyama ya makalio?