Sijawahi kuona Upendo kama huu anaonipa huyu Dada

too good to be true=VALENTINE LOVE SCAM, pls wake up
 
Hongera,ila angalizo usije tu ukataka kunywa sumu siku ukisikia huo upendo kuna mtu mwingine naye anapewa...
 
Furahia mapenzi...

Furahia utamu...

Furahia ndoa...

NB: Usije msahau Mungu wako maana kuna majira ya kucheka na kulia...
ahsante sana mkuu kwa kukumbusha,Mungu ni kila kitu ktk maisha yangu mkuu.
 
Fungeni kwanza ndoa.Ndiyo upate kujua rangi yake halisi.I hope mtaishi vyema. Hakutakuwa na baya tena.Mungu awatangulie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…