Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
Yamkini mko salama kabisa wanabodi hapa
Kwa kawaida mapambo yote ya urembo kwa upande wa mwanamke faida yake kuu ni kujiona amependeza yeye mwenyewe kwanza, na kwa upande wa sisi wanaume ni kuvutia naye kwa jinsi alivyojipamba.
Ukiachilia mbali mapambo ni kustiri mwili,mfano nguo, viatu, kofia na vinginevyo. Lakini kwa mwanamke ambaye amejipamba kwa mfano wa kuachia kucha au kubandika kucha, sijawahi kuona uzuri unaopatikana kwa wanawake kufuga kucha au kubandika kucha.
Ombi kwa wabobezi wa mambo ya urembo, mtupe faida kidogo inayopatikana kwa wanawake kuwa na kucha kiasi hiki kwenye picha, ili kuwachukia wanawake wa namna hii huenda kukawa mwisho kwangu na wengine mfano wangu.
Pengine unaweza kukosa jambo kwa kudharau tu kumbe likawa lina faida kwako, kwahivyo karibu tupashane habari hii.
Nawasilisha