Sijawahi kuona uzuri unaopatikana kwa wanawake kufuga kucha

Sijawahi kuona uzuri unaopatikana kwa wanawake kufuga kucha

Mimi napenda sana kila kitu alichonacho Mwanamke, akinipa ulimi nakula, akinipa utumbo nakula, akinipa nyama stake nakula, mimi najali utamu ninaoupata kwenye kisima, ulimi na utumbo basi

Sawa mkuu umeeleka.
 
kuna wanawake wanafuga kucha na wanazijua kuzitumia.

Kuna sehemu akikuna nazo na kukupapasa hutaamini utamu wake na utatamani kila mwanamke awe nazo..
 
Wanawake ni watu wa kujipamba kwa kila hali, ili wavutie muda wote...

Siyo kila pambo litapendeza wanawake wote.. Kuna ambao yatawachukiza na ambao yatawapendeza...

Kwa hiyo tunarudi kwenye usemi, kipendacho roho...

Cc: mahondaw
 
Kula nyama mbichi...kwa hili la kucha aisee kwanza kiusalama ni hatari mkuu, pili asilimia kubwa utendaji wake wa kazi ni dogo mno, tatu mpaka sasa hakuna fact yoyote iliyotolewa hapa kuhusiana na urembo huu hapa ubaoni

Narudia tena sijawahi kuona uzuri wake
 
kuna wanawake wanafuga kucha na wanazijua kuzitumia.

Kuna sehemu akikuna nazo na kukupapasa hutaamini utamu wake na utatamani kila mwanamke awe nazo..

Mkuu uchafu ni uchafu tuuu

Call the spade by its name not a big spoon
 
Kufuga kucha sio uchafu? Unabidi uwe msafi sana kwani kwa wale wananaotumia maji kutawaza uchafu kidogo unabaki kwenye Kucha bila kujua. Kuwa macho usilishe watu uchafu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asilimia kubwa ya wanawake wanaona ni urembo, tofauti kabisa na lengo halisi la wafugaji wanaojua zitumia. Kwa ifupi wadada wa sasa wanatia kichefu chefu na makucha yao bandia wasiyojua namna yakuyatumia
 
Hakuna kitu nakichukia kama kuweka makucha kama shetani/jini....be natural and you'll you look great and full of wisdom

Mkuu hii ni English ya nchi gani?
 
wengi wanaofuga hizo kucha wanajitahidi sana kwa usafi.

Usafi wa wapi mkuu? Wengi wao huwa wanatoa harufu yenye kero kwenye P kwa sababu wanashindwa kunawa/kuosha vizuri
 
Mkuu hii ni English ya nchi gani?

Wewe umeokota wapi hiyo copy.....kasome post #2

Hakuna kitu nakichukia kama kuweka makucha kama shetani/jini....be natural and you'll you look great and full of wisdom
 
kufuga kucha /kubandika kucha ni urembo tu tena unakuwa smart !ila sasa kila mtu anapenda sytles zake wengine wanapenda ndefu km hizo hapo juu wengine tunapenda fupi lakini safiiii !haina shida!

wengine kucha tunaombeaga hela/ misamaha' tukiwkosea wapendhi wetu' ! unamkuna kuna shingoni/kifuani anakusamehe na fungu anakukatia ! ila fupi ndo zinapendeza zaid km ni mwanamke ulie na majukumu ya kifamilia ! mie nafuga lakini huwa nazishape ziwe fupi za kuvutia !
Hahahaaaaa!! Ngoja nikaombe hela
 
Back
Top Bottom