Sijawahi kuona uzuri unaopatikana kwa wanawake kufuga kucha

Kufuga kucha ushwahilini ni uchafu.

Kufuga kucha ushuani hakuna shida. Maana maji yapo ya kutosha na pressure taps zipo za kutosha.

Mwanamke wa ushwahilini kufuga kucha ni uchafu wa hali ya juu. Ukimvua kyupi huyo unaweza kukimbia.
Hebu funguka zaidi mkuu kwahiyo wa ushuani akifuga kucha hanuki kipochi manyoya chake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Twende taratibu mkuu! Maana hapa wapo pia tuwasaidie kwa upole[emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kufuga kucha ushwahilini ni uchafu.

Kufuga kucha ushuani hakuna shida. Maana maji yapo ya kutosha na pressure taps zipo za kutosha.

Mwanamke wa ushwahilini kufuga kucha ni uchafu wa hali ya juu. Ukimvua kyupi huyo unaweza kukimbia.
 
 
Wanatengeneza silaha ukimdhulumu hela zake anakunyonga kwa kutumia hizo kucha.mm nawaogopa nikishaona mikucha
 
Ni vigumu kupata jibu sahihi. masuala ya uzuri hutegemea mtizamo wa mtu ama jamii husika. ni wazi pakipigwa kura miongoni mwa watanzania hasa vidume au watu wasioishi mijini , wengi wataonesha kuchukizwa na kitu hiki. lakini hii haimaanishi ndiyo ukweli bali ni athari za utamaduni. ukienda west huenda picha ikawa tofauti.

Mimi huwa ninajiuliza

Ukiwa na kucha za hivyo, usafi wa maeneo ya whitehouse hufanywaje? hizi kucha si hatari kweli? ninatamani jibu litoke kwa mdau mwenye kucha hizi
 
Hivi mnafuga au mnabandika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…