Sijawahi kupanda Ndege, nisaidieni

Hauko peke yako,tupo watz kibao 😃
Hapa jf ndio usiseme,wengi hawajapanda ndege humu
 
Njoo pm. Uko mkoa gani? Nikukatie ticket uje pemba upate marashi ya karafuu.
 
Na mfano umesema upo tayari kwenda popote?Dah mbona kama mashaka maana hapa wanaume wamecoment asilimia 90, ina maana akikupandisha atataka umfikie na lazima akuombe mlale NAE, je utakuwa tayari kwa ajili ya kulala na mtu kisa tu ndege? Au unafanya biashara ?
Jitafakari
 
Nimewaomba wadau mbalimbali wa maendeleo wanisaidie kufikia lengo langu, hao wataonitaka nikalale nao sina makubaliano nao kwa hiyo ni BIG NO, ukiwa muungwana utatoa msaada bila kuhitaji malipo ukiwa baradhuli ndio kama hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…