Sijawahi kupanda Ndege, nisaidieni

Nikuambie ukweli hakuna mwanaume atakaye kugharamikia kwa chochote kusiwe na return labda baba yako mzazi, hata naye utamlipa fadhila za kukutunza,

Umesema unaweza ku afford bus, dunduliza gharama ya usafiri wa ndege japo nauli hubadilika, hata wakati wa kurudi utatumia bus au treni,



Utaishia kuliwa na wengine wakubamize kama DIVISHENI FOO alivyo bamizwa na secretarybird
 
Hakuna cha bure kwa Dunia.
 
Wenzako tunapitapita humu kuomba japo buku mbili ya kununua wali maharagwe we unakuja kuomba msaada wa kukwea pipa tena kwa ajili ya pleasure?

Fikiria maisha ya wengine pia.


Cc Bantu Lady
Kiben 10 una shida wewe, sasa mwenzako hayo yote kayapita. Anatafuta raha sasa hivi πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… hebu kale kwanza ushibe, ndiyo urudi.
 
Ameomba tu jamani. Tena amemalizia na Mungu awabariki. Wale wenye moyo wa kutoa bila masharti tujiunge pamoja tumkatie return ticket eg Dar Mwanza or Dar - Arusha kutegemea na mahali anapoishi.
 
Nimewaomba wadau mbalimbali wa maendeleo wanisaidie kufikia lengo langu, hao wataonitaka nikalale nao sina makubaliano nao kwa hiyo ni BIG NO, ukiwa muungwana utatoa msaada bila kuhitaji malipo ukiwa baradhuli ndio kama hivyo
Ni sawa lakini kwa mitazamo hasi ya wanaume wa sasa wanataka return kama uivyosoma huko
 
Tafadhali njoo Pm binti yangu .
Nitakupandisha ndege kutoka Dar es salaam kuja Songwe _mbeya na pia nitakurudisha kw gharama zangu ila mimi hatutaonana kwasasa niko songea ila nisehemu ya kukufanya ufurahi mwanangu .

Note :Jichangnye nikunyonyoe kama kuku
 
Ameomba tu jamani. Tena amemalizia na Mungu awabariki. Wale wenye moyo wa kutoa bila masharti tujiunge pamoja tumkatie return ticket eg Dar Mwanza or Dar - Arusha kutegemea na mahali anapoishi.
Kabisa πŸ™, nipo Dar es salaam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…