Sijawahi kupanda Ndege, nisaidieni


...Mimi ni Mwanamke, elimu darasa la 7 ndio maana natamani kupata marafiki wenye upeo mkubwa kunizidi ili nijifunze mengi,...

 
Sasa ndugu yangu sijawahi kupanda ndege hiyo connection na muhudumu naitoa wapi mie,
Ila nashukuru naimani wadau wataona ili wanikatie tiketi
 
Unamaanisha sie wa darasa la 7 haturuhusiwi kupandishwa ndege?
 
Me mwaka Mungu akipenda terminal 3-doha-jakarta kwa mara ya Kwanza na mimi ndo kbs sina hamu na vindege vyenu vidogo vidogo
Mkuu pale Hamad international airport doha, ukienda kushangaa hiyo connection ya Jakarta itabaki Lindi maana uwanja ni mkubwa mno na mara nyingi muda wa connection ni mfinyu, so wakati unashangaa supermarkets na bustani za mle ndani huku bado hujapata gate number na ndo kwanza ukiipata unakutana na A1-80 wakati geti lako ni C80 hapo utaelewa.
 
Unamaanisha sie wa darasa la 7 haturuhusiwi kupandishwa ndege?
Nakupongeza kwa kufika darasa la saba. Mwenzako nilishindwa kufika darasa la nne. Niliishia darasa la pili. Una miaka mingapi?
 
Sasa ndugu yangu sijawahi kupanda ndege hiyo connection na muhudumu naitoa wapi mie,
Ila nashukuru naimani wadau wataona ili wanikatie tiketi
Vijana hawajakuelewa! Sema umri wako nikusaidie
 
Aisee hata naelewa basi kaka maana ndo kwanza namilili passport mwaka huu yaani me huwa napita Tu nauona jk Nyerere kwa mbali nikiwa ndani ya daladala sielew kitu nasikia tu Doha Qatar ila ukubwa wake siwez Ku imagine
 
Umkatie tu tiketi azunguke zunguke angani afu basi
Kama jamaa mmoja alivyomkatia ticket first class mke rafiki yake baada ya kumgonga, baada ya mke kupost tu kwamba anatamani kupanda ndege...

Kuna watu pesa zao hazina kazi...
 
Sasa ndugu yangu sijawahi kupanda ndege hiyo connection na muhudumu naitoa wapi mie,
Ila nashukuru naimani wadau wataona ili wanikatie tiketi
Shida yako ni mdau apatikane?
Vipi na una cha ku offer kwa mdau?
Usiogope kuwa huru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…