Sijawahi kupata pm, mwanake yoyote anipm tafafhali

Naskia kuna watoto wa kike humu lakin ni ngumu kujua yupi kisu yupi ng'onda mana naonaga tu comment za mashauzi kwa baadhi yao. Wanaowajua cjui wanatumia mbinu gani me npo single jamani watoto wazuri karibuni pm [emoji102]

Heavy Weight
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…