Sijawahi kupendwa

Sijawahi kupendwa

mama yetu

Member
Joined
Oct 4, 2021
Posts
19
Reaction score
83
Hello dears just want to share something with you about my love life.

I have grown up to 29 years old now and the worst thing is I have never seen love yaani sijui utamu wa mapenzi sijawahi kupendwa na mwanaume akanifanya mtu muhimu kwake.

Sina shida kwenye suala la uaminifu na wanaume wote wawili ambao nilishawahi date nao wananisifia sana kwenye suala la uaminifu.

Am kind of wife material can do all house chores, am respectful to all people, ni msafi kuanzia ndani mpaka nje, am not after my man's money I know how to make my own, sina sura mbaya wala nzuri (am presentable) but I always wonder why I can't find true love.

Now nipo kwenye r/ship na mwanaume mmoja (yupo pia humu JF jina kapuni) yan he doesn't show love he doesn't care about me despite being in r/ship for almost ten years. Sipendagi kuanzisha uhusiano mpya coz am that kind of a person ambae ni mgumu sana kumzoea mtu (it may take two years kumzoea mtu mpya)

My point is natamani kupendwa jamani natamani kubembelezwa kama wanawake wengine. I want to feel love.

I want to be asked in the morning 'how are u sweetie have a nice day'
I want a man to tell me 'I love you Mercy you are my everything'..
I want to make love & not sex which I do now.. jaman sijui mnanielewa..
 
Inawezekana na ukawa unachaagua Sana watu yaani wanao kupenda kwel una wa kataa unaenda kwa unao wa penda ambao nao hawaja kupenda kwa ukweli.

Mara nyingi Sana wanawake wanakuwa kwenye mazingira magumu Sana hasa kuchagua, wanawake wa napenda Sana watu wenye muonekano mzuri bila kujua kama upendo wake upoje kwako.

Kwa kusema hayo unacho takiwa kuangalia Nani a nakupenda sio wew unapenda nini hapo Uta experience love
 
Hello dears just want to share something with you about my love life.

I have grown up to 29 years old now and the worst thing is I have never seen love yan sijui utamu wa mapenzi sijawahi kupendwa na mwanaume akanifanya mtu muhimu kwake.
Aiseee pole

Wakati bado haujafika

Ila sisi watu ambao ni ngumu kufanya interaction na wengine (kuwazoe kiwepesi)
Ina Tu hunting sna

Unakuta relationship ikiisha kumpata mwingine hadi mzoeana [emoji28][emoji119]
 
😄😄😄😄😄 uzi wangu bila shaka utakusaidia


wa


wapenzi wakutanao mtandaoni.


skuizi anapendwa pesa
FB_IMG_16449134486283949.jpg
 
Binafsi nimekuelewa na naomba nikupe pole na kukutia moyo.

Kwa vile unachohitaji kinatoka kwa binadamu mwingine tegemea na tarajia utakipata tofauti na ulivyo tazamia.

Hivyo usiweke sana matarajio hayo kutoka kwa unaona anafaa kukupa hicho ukitakacho.

Fanya uwezavyo furaha yako itoke ndani yako na si kwa yoyote nje nawe , utaishi kwa amani sana.
 
Huu mwandiko huu, kama unakuja halafu unapotea...anyway

Bi mkubwa, wakati sahihi ukifika utapata wa kukupenda nawe utaishi ukishuhudia maneno makuu ya mapenzi, itoshe kusema hujaweza kukutana na mtu sahihi...

Huu uzi ungeandika enzi nikiwa kijana bado, ningekutafuta bi mkubwa nikuoneshe walipoandika neno 'kupendwa' kwenye kamusi walikuwa na maana gani haswa...
 
Back
Top Bottom