Sijawahi kupendwa

Ila wanawake tunapitia mengi. Usipopendwa lazima ukonde tu hata kama unakula.

Kuna nyakati nilipenda nisipopendwa hadi nikajiona faraaa.

Miaka imeendaa sasa nimekutana na mtoto mmoja wa mama mkwe ahaaaa ana maneno matamu sijawahi ona.

Hizi ndo sms zake za asubuhi.

Good morning my beautiful queen.....
Good morning my love........
You are my everything 😂 etc etc

Mida mida .......atanicheck tena wakati akielekea kazini na kavideo call😂 mwisho naambiwa i really love you😍

Mchana..... baby its lunch time, you need to eat🤣......usisahau kuwa nakupenda.

Jioni........mke wangu ushatoka kazini? Uko wapi?😅😅😅hapo ni kuchat chat ujinga ujinga, kuomba ka picha basi kakitumwa kuna tusifa utaambia hata kama ni twa kinafiki lakini naambiwa.......... mke wangu unapemdeza, una rangi nzuri, hujichubui, una guu la bia, you are cute, you are everything i need🤣🤣
.......i will give you everything 😂😂😂😂mmmmh! hapa nachekaga sana kwamba atanipa kila kitu, naishia kujisemea nimepigwa na kitu kizito kichwani.....ila ndo hivyo tena nisikose vyote utu tumaneno tunapunguza ges tumboni.

Usiku naagwa kwa maneno matraamu siku inaisha. Haijarishi ni maneno fake ila naambiwa siku inaisha.
Hapa nimeongelea upande mmoja wa shiling . Msije sema haya maneno ninayala? Nafasi ikipatikanaga huko mbele ntaongeleaga na upande mwingine wa shiling.

Mungu uwalinde wanaume / watoto wa mama wakwe wote wapate hela ya kutuhudumia kwa mawazo , kwa maneno, kwa vitendo na kwa kutimiza wajibu amina.
 
Una miaka 29, upo na jamaa mmoja wa humu jf kwenye mahusiano kwa miaka 10, achana na wale wawili.. So jamaa ulianza kumoa utamu toka una miaka 19, muda wote huo anakifukua kipochi manyoya, wala hakuheshimishi [emoji848], hata ndoa hana mpango nawe umeng'ang'ana tu..

Otherwise hii ni chai kama chai nyingine.. 10yrs,upo tu unafokolewa dada zetu mnakwama wapi?
 
Yaani baada ya kusoma post yako,nimegundua wewe ni mtu wa kujisikia sana na watu wa aina yako hupenda kuchagua wanaume wa muonekano fulani na wenye kazi fulani ukihisi hao ndio type yako,ila mwisho wa siku ndio hivyo hata kuambiwa tu nakupenda mpenzi wangu jamaa nafsi inamsuta na anaamua kupiga kimya,
 
Lakini bro hata akiolewa si ataendelea tu kumpa utamu?

Mimi sioni shida wao kuendelea kupeana utamu as long as wameridhiana.
 
Ww acha kucheza na akili zetu unataka upendwe inamaanisha unataka mwanaume mpya???au, hapo hapo unasema kumzoea mtu kwako ni ngumu sana mpaka muda wa mia 2???at the same time you need love this is funy.

Sasa si utulie na uyo bwana ako uliekaa nae miaka 10 yani unakaa na mtu miaka 10 bila ndoa unategemea nn???sasa c umtengeneze uyo mbwana ako awe romantic kwako kama kweli unampenda mbona easy tuu unamgeuza anakuwa lovely kwako ebu badilika wenda ww unataka upendwe na wakati ww kupenda uwezi jiangalie vizuri.

Pia mm nahisi wewe bhana huna lolote unatafuta Danga tu humu ndani la kulichuna tuu maisha magumu saizi wanawake wamegeuza wanaume ndo kitegauchumi chao ndomana vijana wengi wanaogopa kuoa..
 
Jifunze kujipenda mwenyewe itakusaidia sana then anza sasa kuwa wewe romantic my dear kingine kuna wanaume wakogo hvyo aseehh!hawanaga huo muda wa kuonesha hayo mapenzi live but deep inside wanapenda kweli,mapenzi ni zaidi ya hizo show off za good morning ,umekula n.k,angalia mazuri yake anakuhudumia,anajali utu wako,is he there for you when ukimhitaji?kama vyote afanya baasi mvumilie tu my dear.

Maana waweza tamani hayo malove love ya msg kumbe hana lolote wala hana mapenzi ya kweli!
Wanadamu tumeumbwa tofauti maisha ni zaidi ya hvyo vitu!
 
Sjui ni ukijijin wang au ni vp,mim nko na yale mapenz ya kama ya wazee wa zamani yaan tunampenda mtu moyoni lakin nje hatuoneshi

Mi sinaga hzo za honey wala maswitie na ma sm sm kibao,hata siku nktoka kudate na mtu nikifikaga nyumban huwa nasahau kupga zile sm za kuulizia sjui umefikaje,hapo kupga sm mpaka kesho,sasa nakupigia ili iweje wakat tulkuwa pamoja

Bahat nzur wenza wangu mwanzo huwa wananishangaa ila baadae unizoea na wao ndo wanakuwa wakunitafuta kila mara.
 
Ila miaka 10 akiwa tu field anajitolea ni mingi sana jamani...na jamaa wala halimjali? Anahitaji msaada wa kisaikolojia huyu...
 
Hapa tatizo ni wewe mwenyewe...sasa unakaa kwenye relationship miaka yote hiyo jamaa anatafuna mbususu tuu na hajakuoa😲😲😲😲

Yaani kwanza huyo mwanaume ana akili mingi ya nini kumpenda mwanamke ambaye yeye mwenyewe hajipendi?
 
Morning..[emoji28][emoji28]
 
Mie ndio maana nasema sisi wanaume ni vihereherw vyetu tuu vya utaka kufunga ndoa. Ila hawa wanawake mbona unagegeda tuu bila ndoa na wala hawana ubishi wowote. Sasa kama mwanamke yupo tayari kushare mgegedo, kuishi bila pete kwenye kidole haiwezi kuwa shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…