Sijawahi kupendwa

Women with hobbies za kiume za kutafuta pesa na kupambana always get problems to be loved......men prefer typical girls who speak softly who ur ofenly emotion easy feelings can shed tears even on petty issues, strong en understanding women are ment for development not love,

Hilo ndo tatizo lako hapo juu either surrender one be humble, simple shallow minded, to be loved by men or be bright hustler to be loved by your self.......mimi personally napenda mwana mke mwenye harmonies za kike atakae niomba pesa za vitu vidgo vdgo vyake I wll love her en feel her
 

Umeongea vyema,nishawahi kuwa na mtu wa hivyo Hana muda wa porojo,eti umekunywa chai?Umeenda lunch?Yaani matendo yake yanatosha kukueleza jamaa anakupenda na?kukujali.

Yaani yule msukuma unastukia tu muamala umesoma mida ya lunch,napiga simu kusema Asante msukuma anakupa jibu moja tu,

Nenda ukale mama!(in Magufuli voice)jamaniii endelea kubarikiwa msukuma wa Magu.
 
Sms muhimu ni moja tuu...ya mpesa hizi zingine ni spam tuu
 
Kweli usemalo.wanaume hupenda wanawake wenye akili ndogo na tegemezi. . yaani kila kitu hajiwezi mpaka aside.. ukiwa tu unaweza kusimama kupambana wanaume wana inferiority Sana.
 
Mercy bwana changamsha penzi hilo...Piga vizinga mixer virungu huyo jamaa wa JF akili imkae sawa.

Haiwezekani anakula mbususu for almost ten years halafu humuombi hata hela!ndio maana anakuchukulia poa.
 
Upo naye 10 yrs and now your age is 29 ok yangu ni hayo tu.
 
Kweli usemalo.wanaume hupenda wanawake wenye akili ndogo na tegemezi. . yaani kila kitu hajiwezi mpaka aside.. ukiwa tu unaweza kusimama kupambana wanaume wana inferiority Sana.
Hamana kitu kama hicho...wanaume tunapenda mwanamke mwenye tako na ambaye anajua kuwa yeye ni mwanamke na anapenda kuwa mke regardless of how many phds u have.

Tatizo mwanamke akishaweza kujitegemea basi wengi wanakuwa na kiburi. Sasa nani anataka kuishi na aina hiyo ya mwanamke?
 
Your point is "unatamani kupendwa na kubembelezwa kama wanawake wengine" Nisawa but kunakitu kinachofanya ujione kama Hupendwi

Naamini apo ulipo unatongozwa. kibaya kabisa umesema unachukua takriban "two yrs" kumzoea mtu Ata binti bikra afanyi hivyo wakikaa mda mrefu mwaka we jimama kabisa. tatizo liko apo badilika jaribu ata miezi miwili minne mbona utampata.

Yawezekana wanakuja wanaume wanaokupenda kweli we uwajali mtu anastraggle ata miezi sita mpaka anajikatia tamaa mkaka wa watu mwisho wa siku wanaishia kusema

"Anaekupenda pendana nae Asiekupenda Achana nae" Then ana go!
 
Unaeleweka kabisa.

Shida ndio hivyo ulimwengu ulishajiharibikia, there is almost no love in the world.

Shida wanaopendana hawako kwenye mahusiano na ambao wako kwenye mahusiano hawapendani.

Mapenzi ni natural, siku ukikutana na mtu mnayependana hayo utayaona, until then tuendelee kushikilia tulicho nacho.
 
amina mkuu, una ujumbe mwema na mzuri. Nimejifunza vitu kadhaa.
 
Wasukuma wana nafasi za pekee mbinguni.
 
Umechanganya mambo.
 
Nimewai ambiwa nifanye yote lakini nisimkalie kimya..

Naona huwa anamis sana maneno matamu.
Akiona simu yangu lazima atoe tabasamu.
Nampenda sana chotara wangu.

Wengi wetu hatujui upendo. Hatujui kupendwa. Hatujui kupenda. Upendo sio kwa kila mtu

Tunafikiria mapenzi ni ngono
Mapenz ni zaidi ya urefu wa kina cha bahari kama sio umbali wa mbingu na ardhi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…