Sijawahi kupendwa

Hahahaha!uko korrekti 100% wako vze kwenye kuhudumia very responsible man!na wako vzr kwa shows!ila masuala ya bebi bebi wapelekee watangaa[emoji23][emoji23][emoji2][emoji2]
 
Wasukuma Oyeee…

Nina wapendwa sana wasukuma lakini ikifikia hiyo hatua stimu inakata.
Sitaki maswali ila ninauzoefu 😁😁
 
Kasie wewe ni vegan,vegetarian au pescatarian
 
Si bora hata yeye hiyo ten yrs alikuwa na mmoja tu, kwanza mimi namsifu sana, ten yrs na mtu mmoja tu anahitaji zawadi huyu...na ujuwe hata hajaolewa lakini katulia na mmoja tu... really encouraging!
πŸ˜†πŸ˜†
 
True
 
Wasukuma Oyeee…

Nina wapendwa sana wasukuma lakini ikifikia hiyo hatua stimu inakata.
Sitaki maswali ila ninauzoefu [emoji16][emoji16]
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23]hawa watu acha tuuu!!!
 
Kuna kipindi niliwaza kubadilika nikajitahidi week kama mbili baadae nikarudia asili yangu. Kumbe ndivyo tulivyo wasukuma.πŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23]hawa watu acha tuuu!!!
Wanaupendo wa dhati sana ila tatizo hapo kwenye uhindi hindi πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Kasie fundi wa mahaba..

I see you mom..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…