MSISITIZO:Wakenya walikuwa wanatuonea wivu wamepata sababu sasa wanataka nchi yetu ivurugike...kwahili TL aende polepole maana anachokitengeneza kitakuja kumrudi yeye mwenyewe na tutakuwa tumepoteza Ile nchi yetu nzuri ambayo tuliona fahari kujitambulisha kokote duniani
Bado mnajiliwaza na mawazo hafifu ya aina hii kweli?haiwezekan wao kuchukua the point ni chadema ni creator wa vurugu za apa na pale kwahio bada ya uchaguzi kitapatikana chama kipya cha upinzani si wamekataa kushiriki uchaguzi acha wengine wachukue nafasi then watanyooshwa vizuri wakiwa nje ya kivuli ya chama kikuu cha upinzan
EeeeeenHEEEeeeeee!mi ni non-partisan, comments zangu ni "my common sense". Kama unategemea maisha yako na familia yako yataboreshwa siasa za vyama, utapigwa stress na ku-commit suicide. 😀 hao wenyewe wana hustle wapate mkate.
Sikio la kufa halisikii dawa, Hoja kubwa hapa ni mauaji yanayoendeleaBado mnajiliwaza na mawazo hafifu ya aina hii kweli?
Yaani hata huna wakati wa kufikiri waTanzania wenyewe wapo wapi; unabaki tu na "vyama vya upinzani"?
Usishangae siku ukasikia wanataka Tanzania Kusini na KaskaziniNaililia Tanzania yangu, nchi imegawanyika sana, wananchi wake siyo wale tena ambao akitokea mvamizi walikuwa wakiweka ugomvi na tofauti zao pembeni na kuungana dhidi ya mvamizi, sasa hivi wanaombea kabisa mabaya yashuke mapema, wapo tayari kutoa msaada kwa wavamizi itakapohitajika.
Kwa maana hiyo hiyo, nadhani itakuwa sahihi zaidi ukisikia Zanzibar (nchi kamili), inaungana na Pwani yote ya Tanganyika (pengine ukiiondoa Dar, kutokana na hali yake iliyo tofauti zaidi na mikoa mingine ya Pwani ya Tanganyika.). Lakini mikoa kama Mtwara, Lindi, Pwani, Tanga wakiungana na Zanzibar hiyo labda (?) itaridhisha zaidi hamu ya wenye kupenda mwelekeo wa namna hiyo; ambao binafsi nadhani ni sehemu muhimu ya tatizo linalo chochea haya tunayo yashuhudia sasa hivi ndani ya CCM na serikali yake.Usishangae siku ukasikia wanataka Tanzania Kusini na Kaskazini
Nimekuelewa vilivyoKwa maana hiyo hiyo, nadhani itakuwa sahihi zaidi ukisikia Zanzibar (nchi kamili), inaungana na Pwani yote ya Tanganyika (pengine ukiiondoa Dar, kutokana na hali yake iliyo tofauti zaidi na mikoa mingine ya Pwani ya Tanganyika.). Lakini mikoa kama Mtwara, Lindi, Pwani, Tanga wakiungana na Zanzibar hiyo labda (?) itaridhisha zaidi wenye kupenda mwelekeo wa hivyo; ambao binafsi nadhani ni sehemu ya tatizo linalo chochea haya tunayo yashuhudia sasa hivi ndani ya serikali ya CCM.
Lakini watu kwa unafiki wetu, hatutaki kusema ukweli ulivyo. CCM sasa hivi ni tawi la BAKWATA na siyo BAKWATA kuwa tawi la CCM.Nimekuelewa vilivyo
Ndugu Mtanzania, you have said it ALL.Naomba nikiri kwamba, katika uhai wangu wa miongo ya kutosha kuitwa kikongwe, nimeshuhudia mambo mengi sana ya maana na ya hovyo ndani ya Tanzania.
Kwa miaka mingi Watanzania walikuwa ni watu ambao ndani kama zilivyo nchi nyingine waligawanyika na kutofautiana sana, kimitazamo, kimaslahi , kiimani na kiitikadi na kupitia tofaut hizo waliweza ku find their strengths wakaungana na kuwa wamoja na kishindo cha umoja na nguvu yao ilivuka mipaka ya nchi na kusikika kote barani Afrika.
Wao kwa wao ilikuwa ni kawaida kutofautiana, kugombana na hata kuchapana, lakini ilipotokea mtu wa nchi nyingine kujaribu kuingilia au ku take side, watanzania waliweka tofauti za pembeni na kuungana dh8di ya mtu huyu
Siku za karibuni, taratibu tulianza kushuhudia hali hiyo ikitoweka. Upendo wa Kinafiki ukachulua hatamu, hofu na chuki na ukatili navyo vikajichukulia nafasi.
Watawala wakaingiwa na hofu ya kupoteza madaraka, na hofu ilipozidi wakaanza kuwa makatili, wakatengeneza makundi ya watu kwa ajili ya kuumiza wengine. Wakatengeneza makundi ya vijana kwa ajili ya propaganda na matusi mitandaoni.
Nilishitushwa jinsi taarifa za hali ya matokeo ya mapigano kule Congo DRC ilivyokuwa zikipokewa nchini, ziwe zilikuwa za kweli au uongo nilishangazwa na hali ya kutojali kwa watanzania na kwa waliojali walionyesha kutamani iwe zaidi ya ilivyokuwa... nikadhani naota.
Sasa hivi limitokea hili la Wakenya kudukua mitandao ya taasisi nyeti nchini, na kutumia mitandao hiyo kusambaza taarifa za kusikitisha na zisizo rafiki ingawa zina ujumbe ndani yake.
Nchi imetikisika, lakini watanzania wanaoshangilia hili wanasikika zaidi kuliko wanaopinga. Watanzania wameshindwa kuungana, sasa hivi wanashangilia yeyote mwenye kuonekana kuwa na mbinu ya kuweza kuisumbua na kuiumiza serikali.
Vile vikundi vya propaganda na matusi vya mitandaoni vilivyotengenezwa na Chama na Serikali navyo hawasikiki katika wakati huu, wanepoteana.
Naililia Tanzania yangu, nchi imegawanyika sana, wananchi wake siyo wale tena ambao akitokea mvamizi walikuwa wakiweka ugomvi na tofauti zao pembeni na kuungana dhidi ya mvamizi, sasa hivi wanaombea kabisa mabaya yashuke mapema, wapo tayari kutoa msaada kwa wavamizi itakapohitajika.
Kuna kitu kinatakiwa kufanyika, ila kwa sababu za kihistoria au za kukosa maono, tutashupaza shingo.
Hekima na Busara viwaingie watawala ili kuiweka nchi pamoja. Mtapiga risasi wananchi na baadaye mtawagusa ndugu, wake, waume, wazazi na, watoto wa maaskari hao na Ikifika hapo itaanza kuwa vita ya askari kwa askari huku raia nao wakiungana dhidi ya askari.
Tusifike huko, nchi ni yetu sote, mambo yasiyo na afya yarekebishwe ili tuendelee kuijenga nchi.
Nimestuka sana vile watanzania wameshindwa kuungana katika sakata hili linaloendelea.
Mazingira haya, ingawa hatuombei, lakini ikitokea nchi ikatuvamia ninaamini tutaaibika, Jeshi la Wananchi ili liwe imara linahitaji sana hamasa kutoka kwa wananchi, na Wananchi wenyewe ndiyo hawa ambao akitokea adui kwao atakuwa ni 'Mkombozi', tunajitengenezea mazingira yale yaliyotuwezesha kumuondoa Iddi Amin. Kule Uganda.
Tusidanganyane, si jeshi wala Polisi wanaoweza kutuliza hali hii, so far kutumika kwao kumepelekea mwelekeo ubadilike na kuelekea Korongoni.
TUJIREKEBISHE!!
Tunaelekea huko very soonHadi watu wagawane mbao ndiyo ccm wataridhika
Cha ubwabwani unachekesha walionuna ,ngoja uchaguzi upite alafu chama kipya cha upinzan kipatikane kelele zote ztaisha
Utakua shoga mwenyewSasa mimi na nyie mnataka wazungu walete ushoga sijui nani mbaya zaidi!!
unaonekana hujala leo, ebu pata kitu kwanzaCha ubwabwani unachekesha walionuna ,
Chama Gani nje ya chadema kwenye upinzani kinapata sapoti ya wanainch wengi ,
Hicho kingine hata kikiwa na wabunge 50 wa mchongo bado kwenye ground kitakua kama CUF tu ya lipumba ujue kumanipulate watu ilikuwa rahis huko nyuma tofauti na sasa technology iko juu niko kijijini huku lakini najua kuwa Mrema ni fala tu kama ww
Tulia dogo nimekula ubwabwaunaonekana hujala leo, ebu pata kitu kwanza
tunajua kabisa lengo lenu ni kumpush mtu mje mpate vyeo ndo maaana amna anaehangaika na nyieBado mnajiliwaza na mawazo hafifu ya aina hii kweli?
Yaani hata huna wakati wa kufikiri waTanzania wenyewe wapo wapi; unabaki tu na "vyama vya upinzani"?
tuna inamani na ubwabwa. oyaa oyaa oyaa! ubwabwa kweli................Tulia dogo nimekula ubwabwa
Tusifike huko, nchi ni yetu sote, mambo yasiyo na afya yarekebishwe ili tuendelee kuijenga nchi
Usiishie kulia lia tu, majinga yamekuwa mengi na yanajisifia kwa kuchoma nyumbani kwao yakasitiriwe barazani kwa jiraniNaomba nikiri kwamba, katika uhai wangu wa miongo ya kutosha kuitwa kikongwe, nimeshuhudia mambo mengi sana ya maana na ya hovyo ndani ya Tanzania.