Magu aliunganisha raia kwa sababu ya kupromote welfare yao. Imani kwa serikali ilirudi kwa asilimia nyingi mno na utaifa ulikuwa juu na hilo lilifanywa na watangulizi wake makusudi kukinusuru chama.Kusema kweli awamu zilizopita hazikuwahi kufikia hapa tulipo. Hata Magu hakufikia.
Tupo mkuu, siku hizi nyakati zinatulazimisha kuwa waangaliaji na wasikilizajo zaidi. Tunaongea pale tu inapobidi.Mkuu long time Sana umepotea jamvini. Pata hicho kibao hapo chin.
View: https://youtu.be/pZRk_-CN6A4?si=ovWFNCjPyhnYYMhy
Rabish
misconstruction and misjudgmentActually, you're not "vocalizing"; are you aware of that!
In the statement you're alluding to, I simply pointed out the contradiction you made in one simple short sentence; not to your specific stand on the issue involved.
u have no power to alter your perceived political status quoi dont even mind that, mm najiskia vibaya wanavowatumia vijana for their own agenda and some of them die! swala la nan kawa mbunge ama diwan dont matter that much
who cares for me more than my cash?u have no power to alter your perceived political status quo
amka usingizi kijana usije chafua mashuka hayo! si unajua hukumu cha kutaka kupindua serikali ni nn?Nasisitiza hizo mbinu zilizofanya kazi kwa hivyo vyama vingine huko nyuma kwa sasa imeshindikana. Mjue mnadeal na kizazi tofauti kabisa kinachojitambua. Kwa taarifa yako hapo hakuna kesi hapo maana hata hukumu hakimu ameshaandikiwa, inachofanya hiyo jamuhuri ni kusoma upepo ijue itachukua maamuzi gani. Jamuhuri ingekuwa na ushahidi isingepoteza muda kila siku kusema uchunguzi haujakamilika. Wakati ukuta, mbinu zilizowabeba zamani mnajindanganya kama zitafanya kazi sasa. Mabadiliko ni lazima.
huu ni mwaka wa 20 sasa kila sku mnalia safari hii mwisho 🤣 🤣 🤣 , chil out relax, kula vizuri nenda katafute ela ccm haiwezi kuondoka leo ama kesho yaani utaondoka utafufuka utaikuta bado ipoHakuna kesi hapo zaidi ya mbinu autdated, mko nje ya nyakati. Sana sana hapo mtaendesha kesi kwa hila na ushahidi wa kubumba, baadae DPP atapewa maagizo ya kufuta kesi. Lakini mabadiliko yamefika hata mfanye nini hamuwezi kuyazuia.
Matusi ya kweli ni wizi wa kura mnaofanya na wizi wa pesa za umma. Tunajua mnatumia nguvu kubwa za vyombo vya dola na pesa za umma ili kuzuia mabadiliko ili muendelee kutuibia, lakini safari hii mmefikia mwisho na mabadiliko ni lazima.
kwa kifupi kikundi chenu cha chadema 🤣 🤣 ukiachana na wale waliohama karibuni na wanaokaribia kuhama akili hamna, kiukwel nyie ni wajinga sio kwa nia mbaya ila ndo ukwel 🤣🤣, unataka wananchi wawasupport alafu mkipewa jukwaa la kuongea mnaanza kuchamba watu bdala ya kuambia wananchi nn mtawafanyia na mnategemea wananchi wawe upande wenu 🤣🤣🤣, kwa kifupi katika vyama vyote duniani nyie ndo wajinga kuliko woteHakuna kesi hapo zaidi ya mbinu autdated, mko nje ya nyakati. Sana sana hapo mtaendesha kesi kwa hila na ushahidi wa kubumba, baadae DPP atapewa maagizo ya kufuta kesi. Lakini mabadiliko yamefika hata mfanye nini hamuwezi kuyazuia.
Matusi ya kweli ni wizi wa kura mnaofanya na wizi wa pesa za umma. Tunajua mnatumia nguvu kubwa za vyombo vya dola na pesa za umma ili kuzuia mabadiliko ili muendelee kutuibia, lakini safari hii mmefikia mwisho na mabadiliko ni lazima.
kijana ebu pata msosi nenda kaishi vizuri ccm huwezi itoa leo wala kesho mpaka wananchi wenyewe waamue kwa lugha nyepesi ccm wagome kufanya maendeleo warelax apo ndo ccm itatoka ila izi fujo zenu mnazidi kujiharibia tu na wananchama wataendelea kuwakimbia kwa sababu hamna akili na mkicheza vibaya jamaa mnamkosaBora kuungana hata na shetani kuliko hii CCM na Serikali yake.
Ukitaka kujua mtu serious tazama uandishi wake, ukishaona emoj nyingi ujue kinachoendelea humo ndani ni utoto mtupu.kwa kifupi kikundi chenu cha chadema 🤣 🤣 ukiachana na wale waliohama karibuni na wanaokaribia kuhama akili hamna, kiukwel nyie ni wajinga sio kwa nia mbaya ila ndo ukwel 🤣🤣, unataka wananchi wawasupport alafu mkipewa jukwaa la kuongea mnaanza kuchamba watu bdala ya kuambia wananchi nn mtawafanyia na mnategemea wananchi wawe upande wenu 🤣🤣🤣, kwa kifupi katika vyama vyote duniani nyie ndo wajinga kuliko wote
chauma oyeeUkitaka kujua mtu serious tazama uandishi wake, ukishaona emoj nyingi ujue kinachoendelea humo ndani ni utoto mtupu.
ACT 2014 mliwajaza hivi hivi, lakini wako hoi hadi leo. Sana sana wamepata ahueni kwa Wapemba, tena ni bila nguvu ya Zito. Ukitaka kujua kizazi kimebadilika subiri muanze kampeni za uchaguzi wa kishenzi ambao cdm wamegoma kusaini sheria za kihuni, ndio utajua kizazi kinataka nini kwa sasa. Mtamwaga hela kupita kiasi, na bado wapiga kura itakuwa tiamaji tiamaji. Na bado cdm itaendelea kuwa habari ya mjini bila hata kushiriki huo upuuzi uitwao uchaguzi. Zama zimebadilika, mbinu zilizofanikiwa zamani si kwa sasa.chauma oyee
amka usingizini utachafua mashuka! mna hali mbaya kabla ata ya uchaguzi, saaahv unatakiwa uwe mshaita mkutano wa haraka kujua kwann wanachama wenu wanakimbia ila kwa kua mnapenda ndoto subiria ujionee uhalisiaACT 2014 mliwajaza hivi hivi, lakini wako hoi hadi leo. Sana sana wamepata ahueni kwa Wapemba, tena ni bila nguvu ya Zito. Ukitaka kujua kizazi kimebadilika subiri muanze kampeni za uchaguzi wa kishenzi ambao cdm wamegoma kusaini sheria za kihuni, ndio utajua kizazi kinataka nini kwa sasa. Mtamwaga hela kupita kiasi, na bado wapiga kura itakuwa tiamaji tiamaji. Na bado cdm itaendelea kuwa habari ya mjini bila hata kushiriki huo upuuzi uitwao uchaguzi. Zama zimebadilika, mbinu zilizofanikiwa zamani si kwa sasa.
ACT 2014 mliwajaza hivi hivi, lakini wako hoi hadi leo. Sana sana wamepata ahueni kwa Wapemba, tena ni bila nguvu ya Zito. Ukitaka kujua kizazi kimebadilika subiri muanze kampeni za uchaguzi wa kishenzi ambao cdm wamegoma kusaini sheria za kihuni, ndio utajua kizazi kinataka nini kwa sasa. Mtamwaga hela kupita kiasi, na bado wapiga kura itakuwa tiamaji tiamaji. Na bado cdm itaendelea kuwa habari ya mjini bila hata kushiriki huo upuuzi uitwao uchaguzi. Zama zimebadilika, mbinu zilizofanikiwa zamani si kwa sasa.
Yaani tuitishe mkutano kutaka kujua kwanini wanachama wanaondoka, wakati wamekipunguzia chama kundi kubwa lililokuwa linatumika na ccm!amka usingizini utachafua mashuka! mna hali mbaya kabla ata ya uchaguzi, saaahv unatakiwa uwe mshaita mkutano wa haraka kujua kwann wanachama wenu wanakimbia ila kwa kua mnapenda ndoto subiria ujionee uhalisia
chadema hakina ushawishi, kipindi mliungwa mkono ni kipindi kulikua na mpasuko ndan na mliungana vyama vyote kwa pamoja na bado tukawapa mgombea na mkashindwa kuchukua nchi 🤣 🤣
leo hii mko wenyewe na hata wao wenyewe bado wanawakimbia 🤣🤣, poor chadema