we jamaa ni hopeless kwel, nguvu ya chama ni wanachama! ndo maaana tunabaki tunawachekaYaani tuitishe mkutano kutaka kujua kwanini wanachama wanaondoka, wakati wamekipunguzia chama kundi kubwa lililokuwa linatumika na ccm!
Mkuu hiki si kizazi cha kusoma magazeti ama kusubiri habari za propaganda kwenye TV. Hiki ni kizazi kinachojitambua na kinapata habari za uhakika. Na uzuri kikipata habari kinaweza kuhoji na kuzijadili. Kama mlifanikiwa kuteka kizazi kilichokuwa kinasoma magazeti,na kusubiri habari za TV, basi mmjue mmbeki na mbinu za zamani mno.
hehehe kijana unapenda kujipa moyo, hamshiriki uchaguzi tulieni nyumban mlee watoto ccm waendelee kwa miaka mingine 50Mkuu hiki si kizazi cha kusoma magazeti ama kusubiri habari za propaganda kwenye TV. Hiki ni kizazi kinachojitambua na kinapata habari za uhakika. Na uzuri kikipata habari kinaweza kuhoji na kuzijadili. Kama mlifanikiwa kuteka kizazi kilichokuwa kinasoma magazeti,na kusubiri habari za TV, basi mmjue mmbeki na mbinu za zamani mno.
alafu mlivokua vichwa vibovu hamshauriki yaani kazeni ivo ivo 🤣 🤣Mkuu hiki si kizazi cha kusoma magazeti ama kusubiri habari za propaganda kwenye TV. Hiki ni kizazi kinachojitambua na kinapata habari za uhakika. Na uzuri kikipata habari kinaweza kuhoji na kuzijadili. Kama mlifanikiwa kuteka kizazi kilichokuwa kinasoma magazeti,na kusubiri habari za TV, basi mmjue mmbeki na mbinu za zamani mno.
Cdm ina wafuasi wa uhakika na wanaojitambua, ndio maana inataka uchaguzi wa haki. Kwa sasa watanzania wengi si wanachama wa vyama vya siasa tena, bali wengi wanaweza kupiga kura iwapo kuna uchaguzi wa haki. Nyie tumieni nguvu kubwa kuuza kadi, lakini cdm ikifika kwenye uchaguzi inazoa kura za halali. Siasa ni akili si mabavu na mbinu za kizee.we jamaa ni hopeless kwel, nguvu ya chama ni wanachama! ndo maaana tunabaki tunawacheka
Hatushiriki chaguzi za kipuuzi wala hatutamini. Na kubwa kuliko yote hatujutii kutoshiriki ushenzi.hehehe kijana unapenda kujipa moyo, hamshiriki uchaguzi tulieni nyumban mlee watoto ccm waendelee kwa miaka mingine 50
🤣 usiseme chadema, sema ivi ata vyama vyote vya upinzan viungane na tuwape mgombea zaidi hamuwezi kushinda uchaguzi kutumia chadema peke yake ni kujikuza, unapoteza mda kutaka kuitoa ccm, itatolewa na wananchi peke yake watakapoamua, incidence kama ya 2015 ndo inaweza kuitoa ccm na sio kelele zenu za njaaCdm ina wafuasi wa uhakika na wanaojitambua, ndio maana inataka uchaguzi wa haki. Kwa sasa watanzania wengi si wanachama wa vyama vya siasa tena, bali wengi wanaweza kupiga kura iwapo kuna uchaguzi wa haki. Nyie tumieni nguvu kubwa kuuza kadi, lakini cdm ikifika kwenye uchaguzi inazoa kura za halali. Siasa ni akili si mabavu na mbinu za kizee.
saf, sasa mkae mtulie muacha ccm ifanye kaziHatushiriki chaguzi za kipuuzi wala hatutamini. Na kubwa kuliko yote hatujutii kutoshiriki ushenzi.
Sisi hatuwazuii ccm kufanya kazi, sisi tunafanya kazi yetu ya siasa, labda mjistukie.saf, sasa mkae mtulie muacha ccm ifanye kazi
apo sawaSisi hatuwazuii ccm kufanya kazi, sisi tunafanya kazi yetu ya siasa, labda mjistukie.
"Hamna utamaduni wa kutukana watu", lakini utamaduni wenu ni ULAGHAI na kuumiza watu. Hayo ndio mnayojivunia kama utamaduni wenu?issue ni hamna point ya maana ya kuongea ata sisi wala atuhangaiki na nyie tulia kesi isikilizwe kama atakutwa na makosa sheria impatie adhabu hatuna utamaduni wa kutukana watu ovyo
100%kwa kifupi kikundi chenu cha chadema 🤣 🤣 ukiachana na wale waliohama karibuni na wanaokaribia kuhama akili hamna, kiukwel nyie ni wajinga sio kwa nia mbaya ila ndo ukwel 🤣🤣, unataka wananchi wawasupport alafu mkipewa jukwaa la kuongea mnaanza kuchamba watu bdala ya kuambia wananchi nn mtawafanyia na mnategemea wananchi wawe upande wenu 🤣🤣🤣, kwa kifupi katika vyama vyote duniani nyie ndo wajinga kuliko wote
kuna makosa yanastahili hukumu kama izo, ata kwenye bible watu wengi sana walipokea hizo punishment!"Hamna utamaduni wa kutukana watu", lakini utamaduni wenu ni ULAGHAI na kuumiza watu. Hayo ndio mnayojivunia kama utamaduni wenu?
Ni kama umejaza tope kichwani mwako, kwamba huelewi chochote.ata mkisema muungane vyama vyote vya upinzani of which mlishafanya, hamna uwezo wa kuitoa ccm madarakani sio kwa sababu ya kura hapana, ila hamfanyi siasa mnafanya harakati, ili ushinde mioyo ya watu lazima uje kama alternative kwa watu, waambie tatizo lenu hili tutalitatua hivi of which ndo ccm wanafanya miaka yote, na vyama
Watu wa kudhibitiwa ni genge lenu linalotafuta kusababisha maafa kwenye taifa hili.kaa tuliza komwe skiliza hii video:
mbna mlivoshinda viti vya ubunge 2015 hamkusema hatuutambui ushindi wetu kwa sababu ccm wanaiba kura?Ni kama umejaza tope kichwani mwako, kwamba huelewi chochote.
Kama CCM inazo sifa hizo unazoimba hapo, inaogopa kitu gani kuwepo na uchaguzi HURU na HAKI. Kila mpiga kura apige kuchagua mgombea yeyote anaye mtaka amwongoze. Hili kichwani mwako ni gumu sana kulielewa?
Hata hivyo, nataka uelewe kwamba haya yanayofanyika sasa CCM, kama chama hakihusiki. Huu ni mpango wa genge lenu linalolazimisha Samia abaki madarakani kwa gharama ya uhai wa waTanzania. Hili halina uhusiano wowote na CCM kama chama.
Mnakitanguliza chama kama lebo tu ya kufanyia uovu wenu.
Watu wa kudhibitiwa ni genge lenu linalotafuta kusababisha maafa kwenye taifa hili.
Umeanza kuwa mpuuzi kurukia mambo ya baibo hapa kama kinga ya uhalifu mnaowafanyia waTanzania kwa sababu tu ya kumbakisha madarakani mtu wenu.kuna makosa yanastahili hukumu kama izo, ata kwenye bible watu wengi sana walipokea hizo punishment!
Zungumzia ya sasa, achana na hizo habari za huko nyuma.mbna mlivoshinda viti vya ubunge 2015 hamkusema hatuutambui ushindi wetu kwa sababu ccm wanaiba kura?
Hiyo lugha huijui, kwa nini ung'ang'ane nayo?Rabish
misconstruction and misjudgment
mbona nHiyo lugha huijui, kwa nini ung'ang'ane nayo?