Ila ww jamaa sometime naona tunaendana swaga aisee..Huo uchonganishi.!!![emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sikumbuki maana kipindi kirefu sikuwepo humu nilienda sayari nyingine[emoji15]Ila ww jamaa sometime naona tunaendana swaga aisee..
Ila rubii si aliweka pm yako hadharani..
Ha ha ha ha ha...Mimi nahisi itakua inaboa tu. Tuchukulie huku ndo pm sasa.
Castr: Za saa hizi.
Yeye: Nzuri tu mkuu
Castr: Aaah sasa mpaka huku tunaitana mkuu? (Unajichekesha) hahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yeye: Ndiyo kwani kote si jf mkuu?
Castr: Ah una hoja ila ni sawa na kusema mke na mume wakiingia chumbani waendelee kuitana majina ya sebuleni walipokua mbele ya watoto..
Yeye: Ushasema mke na mume mkuu, mi na wewe tupo jf.
Castr: (unajichekesha tena)[emoji23] [emoji23] hahaaaahaaa looool unaonekana una vituko sana, ila nitafurahi usiponiita mkuu.
Yeye: Kwanini nisikuite mkuu?
Castr: Naomba tukutane jmos kesho nikupe sababu za kutoitana mkuu.
Kimya cha Saa 3 kinapita
Baadaye unaingia jf unakutana na uzi huu.
Wanaume tuheshimiane huko pm, wengine tumeolewa.
Unacheki muanzisha uzi, ndiyo ulikua naye pm. Mdau mmoja anasema acha kujifagilia weka ushahidi.
Ushahidi huo hapo juu unamwagwa.
Nina muda wa miaka kadhaa hapa jukwaani! Nishakutana na warembo kadhaa, ila sijawahi kutongoza either PM or anywhere...
Huwa inakuaje? Tupeane uzoefu...
Ila nikutahadharishe mapema tu kuwa ukiona ID's zina picha za Kike jua hiyo ni ' Midume ' iliyotukuka na imekomaa vilivyo na ukiona ID's zina picha za Midume jua hao ni ' Warembo ' wa maana hivyo ' tiririka ' na ' serereka ' nao bila wasiwasi. Kila la kheri katika ' mtongozo '.
Kwa hiyo GENTAMCYNE huwenda ni bonge la mtoto lenye chura inayotikisika kama utete wa kando kando ya mto eeh!Mfano angalia ' Avatar ' ya hii ID na kwa haraka haraka ukiwa POPOMA uliyetukuka unaweza kudhani ni ' Dume la Mbegu ' kweli wakati kumbe unaweza kukuta huyo ni ' bonge ' la Mnyange / Mrembo.
Kwa hiyo GENTAMCYNE huwenda ni bonge la mtoto lenye chura inayotikisika kama utete wa kando kando ya mto eeh!
Nilitaka kununa kumbe hapa chit-chat bhana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nahisi itakua inaboa tu. Tuchukulie huku ndo pm sasa.
Castr: Za saa hizi.
Yeye: Nzuri tu mkuu
Castr: Aaah sasa mpaka huku tunaitana mkuu? (Unajichekesha) hahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yeye: Ndiyo kwani kote si jf mkuu?
Castr: Ah una hoja ila ni sawa na kusema mke na mume wakiingia chumbani waendelee kuitana majina ya sebuleni walipokua mbele ya watoto..
Yeye: Ushasema mke na mume mkuu, mi na wewe tupo jf.
Castr: (unajichekesha tena)[emoji23] [emoji23] hahaaaahaaa looool unaonekana una vituko sana, ila nitafurahi usiponiita mkuu.
Yeye: Kwanini nisikuite mkuu?
Castr: Naomba tukutane jmos kesho nikupe sababu za kutoitana mkuu.
Kimya cha Saa 3 kinapita
Baadaye unaingia jf unakutana na uzi huu.
Wanaume tuheshimiane huko pm, wengine tumeolewa.
Unacheki muanzisha uzi, ndiyo ulikua naye pm. Mdau mmoja anasema acha kujifagilia weka ushahidi.
Ushahidi huo hapo juu unamwagwa.
Hivi wewe ulishawahi kutongozwa hapa JF[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani kuna nini mkuu? Unataka na mie nijitangaze ama?Hivi wewe ulishawahi kutongozwa hapa JF
Nataka kukutongoza.Kwani kuna nini mkuu? Unataka na mie nijitangaze ama?
Watongozaji hawajitangaziNataka kukutongoza.
Ngoja nifanye majaribio kwako kama kudanganya unafumua mzigoUNA MDANGANYA DANGANYA TU ATAKUBALI