Mimi nahisi itakua inaboa tu. Tuchukulie huku ndo pm sasa.
Castr: Za saa hizi.
Yeye: Nzuri tu mkuu
Castr: Aaah sasa mpaka huku tunaitana mkuu? (Unajichekesha) hahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yeye: Ndiyo kwani kote si jf mkuu?
Castr: Ah una hoja ila ni sawa na kusema mke na mume wakiingia chumbani waendelee kuitana majina ya sebuleni walipokua mbele ya watoto..
Yeye: Ushasema mke na mume mkuu, mi na wewe tupo jf.
Castr: (unajichekesha tena)[emoji23] [emoji23] hahaaaahaaa looool unaonekana una vituko sana, ila nitafurahi usiponiita mkuu.
Yeye: Kwanini nisikuite mkuu?
Castr: Naomba tukutane jmos kesho nikupe sababu za kutoitana mkuu.
Kimya cha Saa 3 kinapita
Baadaye unaingia jf unakutana na uzi huu.
Wanaume tuheshimiane huko pm, wengine tumeolewa.
Unacheki muanzisha uzi, ndiyo ulikua naye pm. Mdau mmoja anasema acha kujifagilia weka ushahidi.
Ushahidi huo hapo juu unamwagwa.