Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha papichi pia inategemea kifungashio chake.Kwani we unapotongoza shida yako kuu inakuwa ni nini!!?
Mana hata kama jina la uongo na picha ya uongo
Ila papuchi inabaki pale pale haiwezi kuwa ya uongo.!
We kula dodo tu acha visirani kwa hawa warembo wetu humu.
Swadaktaaa!Huku ni msituni, pita kwa tahadhari lakini Ukiona tunda zuri chini ya mti usisite kuokota ila usijaribu kulionja kama huna uhakika ka laliwa... Matunda mengine ni sumu!!!!!!!
[emoji8] [emoji8] [emoji8]Hivyo vya kutoonana ndio inanoga na kuleta msisimko wa ajabu.
Kwahiyo unataka kusema Mahonda na Simati wao hawajaonana ndio maana wana mihemko ya ajabu ajabu!?Hivyo vya kutoonana ndio inanoga na kuleta msisimko wa ajabu.
....basi nikikua ntaanza kukutongoza wewe,utanikubalia?Subiri kidogo. Ukikua na we utaanza kutongoza madem wa JF!
Unataka ujifunze kutongoza kwa kutongoza wanaume wenzio?....basi nikikua ntaanza kukutongoza wewe,utanikubalia?
Ndo huu ujinga ninao ongelea,lakini umekaa ki-kike kike,samahani lakiniUnataka ujifunze kutongoza kwa kutongoza wanaume wenzio?
Kwahiyo unatakaje?Hivi ni mimi tu au kuna wengine ambao nao hawajawahi kutongoza mademu humu JF?
Sasa nawashangaa ambao mnatongoza mademu humu,hisia zinatokaga wapi?Picha uongo ,jina uongo!!
Tena wale wanaokuja kutafuta wachumba ndio kabisaaaa!
Ngoja nirudi kwenye thread ilee ya mapicha ya AsprinAah mkuu mbona wewe ni hodari wa kutongoza watsupView attachment 506880
Usione mtu kwenye grup ushamrukia