Sijawahi kutongoza JF

Hivi ukitongoza ukienda pm ukikuta ni maza yako utasemaje (wakati kwenye posts zake alikuwa kaa kawembe flani hivi?)
 
Kwani we unapotongoza shida yako kuu inakuwa ni nini!!?
Mana hata kama jina la uongo na picha ya uongo
Ila papuchi inabaki pale pale haiwezi kuwa ya uongo.!
We kula dodo tu acha visirani kwa hawa warembo wetu humu.
Haha papichi pia inategemea kifungashio chake.
 
Du hili ni la kawaida mbona,tuko wengi kama wewe...labda aje hata mmoja wa kunishawishi nimtongoze..lol
 
Kweli mkuu mie mwenyewe huwa nashangaa sana huwa inakuwaje mtu anatongoza dem kwa pixha fake na jina fake!!
 
Hivi ni mimi tu au kuna wengine ambao nao hawajawahi kutongoza mademu humu JF?

Sasa nawashangaa ambao mnatongoza mademu humu,hisia zinatokaga wapi?Picha uongo ,jina uongo!!

Tena wale wanaokuja kutafuta wachumba ndio kabisaaaa!
Kwahiyo unatakaje?
Mimi nimeoa JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…