Sijawahi kuwa na Imani na Freeman Mbowe kama mwanasiasa mpigania haki na uhuru

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Ndivyo ilivyo katika nafsi yangu kwa muda mrefu sana katika anga za siasa za Tanzania.

Freeman Mbowe kwangu mimi hajawahi kuwa na ushawahi wa aina yoyote ile, sio mpigania haki wala uhuru. Binafsi Imani yangu tangu enzi hizo najua Mbowe anafanya biashara ya siasa kupitia chama cha siasa yaani Chadema.

Nawapa pole watu wote wenye Imani na Freeman Mbowe na Chadema yake.

Siku hizi wanasiasq wanakemea uovu kisharobaro na kinyolonyolo.

Tuna upinzani ushuzi wanaoishi kwenye ghetto la popobawa.

Karibu ulingoni tubutue kwenye ulingo wa akili

Wadiz
 
Kwa kweli mpaka sasa hakuna anayeweza kusimama kwaajili ya upnzani yamebaki tuu majina ya vyama
 
Ndivyo ilivyo katika nafsi yangu kwa muda mrefu sana katika anga za siasa za Tanzania.

Freeman Mbowe kwangu mimi hajawahi kuwa na ushawahi wa aina yoyote ile, sio mpigania haki wala uhuru. Binafsi Imani yangu tangu enzi hizo najua Mbowe anafanya biashara ya siasa kupitia chama cha siasa yaani Chadema.

Nawapa pole watu wote wenye Imani na Freeman Mbowe na Chadema yake.

Siku hizi wanasiasq wanakemea uovu kisharobaro na kinyolonyolo.

Tuna upinzani ushuzi wanaoishi kwenye ghetto la popobawa.

Karibu ulingoni tubutue kwenye ulingo wa akili

Wadiz

That's why kuna waamini Kristo na waamini mohammed

Kuna waamini mungu na waamini mbuzi

Hatuwez kuwa Sawa

So wewe bakia na Imani yako ila kuna watu wanajua mbowe kafanya nini and Chama chake amekifikisha wapi Kwa nguvu zake
 
Ni ngumu sana kumuamini bwana yule
Kwenye harakati za Kampeni za Siasa katika Uchaguzi Mkuu wa Kwanza wa vyama vingi hapa Tanzania Mwaka 1995, Mwl. Julius Nyerere akiwa mjini Morogoro ktk mkutano wa kumpigia kampeni aliyekuwa Mgombea wa CCM Bw. Benjamin W. Mkapa aliwahi kusema hivi:-

"Nimewatuma marafiki zangu ili waende wakahamasishe Upinzani"

NB:
Wagombea Urais kutoka vyama vya Siasa vya Upinzani Mwaka huo wa 1995 walikuwa:-
1. Augustine Lyatonga Mrema.
2. Prof. Ibrahim Lipumba.
3. John Momose Cheyo.

Mwisho:
Usiwaamini Wanasiasa, wengi wao ni mapandikizi tu waliowekwa ili kuwazuga wananchi na ili kuwafanya Wazungu waendelee kuleta misaada hapa nchini.
 
That's why kuna waamini Kristo na waamini mohammed

Kuna waamini mungu na waamini mbuzi

Hatuwez kuwa Sawa

So wewe bakia na Imani yako ila kuna watu wanajua mbowe kafanya nini and Chama chake amekifikisha wapi Kwa nguvu zake
tusubirini 2025 kampen zitakua tamuu atr
 
Ulitaka Mbowe afanyeje? hapa Tanzania kuna chama gani cha umpinzani kilicho imara kama chadema? au ulitaka aanzishe jeshi lake? Sema tu unawivu na biashara zake
Mbowe hana akili zenye uwakilishi mtambuka ana nadharia za ukipepeo. Na akiwa Tanga kwenye msiba wa kibao amedhihiri hilo, hawezi kuitisha press conference after every three days kupigania haki na uhai wa waliopotea.

Mbowe anapenda camera na amehodhi uzito wote, you can see Tundu Lisu amekosa airtime ya kutosha yenye platform ya kichama kuongelea mambo mazito.

Siku Lisu akiamua kuwa mpinzani mwenye Chama chake ama ahamie chama kingine Chadema itakuwa kama NLD
 
Ndivyo ilivyo katika nafsi yangu kwa muda mrefu sana katika anga za siasa za Tanzania.

Freeman Mbowe kwangu mimi hajawahi kuwa na ushawahi wa aina yoyote ile, sio mpigania haki wala uhuru. Binafsi Imani yangu tangu enzi hizo najua Mbowe anafanya biashara ya siasa kupitia chama cha siasa yaani Chadema.

Nawapa pole watu wote wenye Imani na Freeman Mbowe na Chadema yake.

Siku hizi wanasiasq wanakemea uovu kisharobaro na kinyolonyolo.

Tuna upinzani ushuzi wanaoishi kwenye ghetto la popobawa.

Karibu ulingoni tubutue kwenye ulingo wa akili

Wadiz
Ingia chimbo wewe mwenyewe iwapo umeona mapungufu na uache kulialia.
 
Ndivyo ilivyo katika nafsi yangu kwa muda mrefu sana katika anga za siasa za Tanzania.

Freeman Mbowe kwangu mimi hajawahi kuwa na ushawahi wa aina yoyote ile, sio mpigania haki wala uhuru. Binafsi Imani yangu tangu enzi hizo najua Mbowe anafanya biashara ya siasa kupitia chama cha siasa yaani Chadema.

Nawapa pole watu wote wenye Imani na Freeman Mbowe na Chadema yake.

Siku hizi wanasiasq wanakemea uovu kisharobaro na kinyolonyolo.

Tuna upinzani ushuzi wanaoishi kwenye ghetto la popobawa.

Karibu ulingoni tubutue kwenye ulingo wa akili

Wadiz
Mbowe kapitiliza.uungwana ..nadhani mwenyekiti angekua Lema tungemfurahia .juzi kanikwaza sana Mbowe kutuliza ghasia...angeacha tu kama haoni..
 
Back
Top Bottom